Jana kaniita et ..Halooo G, baba leo jion uje nikukate kucha
Kweli nkaenda akanikata kucha za miguu
Sasa kimbembe ninani wakuzitupa kucha,
Akaanza Au unaogopaa eehhh, niziache uzitupe mwenyewe??
Nikamkaziaa... Eehhhh kuna watu wanaroga sana ,akishapata kucha zako anakurogaa.
Basi dem akaanza kucheka weeeee
Kwa ufupi, kinachonishangaza yaaan siku hizi haishi kunitambulisha kwa wanawake wenzake..Mume wangu..mume wangu..mume wanguuu
Yaaan Huyi Demu anajiweza tu vzuri ,sasa ananiambia et Ameanza kujenga, kwahiyo anataka kila kitu nisimame mimi kama Mume wake
Nikastukaaa
Kuna siku nilikua Ofisin kwake, sasa wakaja vijana wawili wanataka kuweka hela milion moja, wakanza maneno mengi weee nikajua hawa vibaka.
Nikawatisha ,wakakimbia, Ikabidi nitoke nao nduki, nikafanikiwa kumkamata mmoja, Piga makofi ,nikamrudisha mpka ofisin, akaanza kulia lia weee, nikapeleka kituo cha polis.
Basi Demu huyu, siku nzima aakawa anawapigia ndugu zake, nilitaka kutapeliwaa, Mume wangu kanisaidiaa, kawakimbizaa, kakamata mmoja
Yaan kila simu anawaambia Mume wangu G.
Kiukweli mpaka najistukia, namm sina mpango wowote naye, sababu nina Familia.