Bibi umekimbia kwenye jukwaa la siasa umekimbilia huku baada ya futari kupigwa chini kule ikulu? mwaka huu mtanyooka tuuHongera.
Bibi umekimbia kwenye jukwaa la siasa umekimbilia huku baada ya futari kupigwa chini kule ikulu? mwaka huu mtanyooka tuu
Hahahaha habari yako shostito..Ukikuwa utaacha, hata baba'ko alikuwa hivyo hivyo kaacha (kama unamjuwa).
Leo asubuhi nimekutana na kitu cha ajabu. Mpaka sasa mwili unasisimka!Tofauti na binadamu wa kawaida yeye macho yake yako kifuani na siyo mawili bali manne!Ukweli miguu sikuiona ila kichwa kilikuwepo na hata mikono!Kadri nilivyozidi kumsogelea nilikuwa nikipigwa na upepo mithili ya beach.
Ilifika hatua uzalendo ukanishinda na kutimua mbio mpaka nilipofika barabara kuu ambapo nashukuru magari yalikuwa yakipita.Ajabu alikuwa kavaa nguo ambayo hadi sasa nimeshindwa kujua ni rangi gani maana ilikuwa ikibadilika.Macho niliweza kuyaona kwasababu mboni zilikuwa za kijani kali.
Mama yangu ni wewe ila baba ndio simjuiUkikuwa utaacha, hata baba'ko alikuwa hivyo hivyo kaacha (kama unamjuwa).
Atakua kaja na ID mpyaWewe utakuwa K 4 life
Mama yangu ni wewe ila baba ndio simjui
Kumbe hata mama'ko humjuwi! Pole sana.
Ungetumia fursa ya kwenda uwanja wa Taifa ukaomba wakutangazie kumtafuta baba'ko.
You never know labda ni katika wapenda vya bure waliojazana huko.
Kama hamjui inamaana mamake alikuwa chawote daah matusi hayoUkikuwa utaacha, hata baba'ko alikuwa hivyo hivyo kaacha (kama unamjuwa).
We jamaa bwege kweli sasa kilichokufanya unikimbie nini?Leo asubuhi nimekutana na kitu cha ajabu. Mpaka sasa mwili unasisimka!Tofauti na binadamu wa kawaida yeye macho yake yako kifuani na siyo mawili bali manne!Ukweli miguu sikuiona ila kichwa kilikuwepo na hata mikono!Kadri nilivyozidi kumsogelea nilikuwa nikipigwa na upepo mithili ya beach.
Ilifika hatua uzalendo ukanishinda na kutimua mbio mpaka nilipofika barabara kuu ambapo nashukuru magari yalikuwa yakipita.Ajabu alikuwa kavaa nguo ambayo hadi sasa nimeshindwa kujua ni rangi gani maana ilikuwa ikibadilika.Macho niliweza kuyaona kwasababu mboni zilikuwa za kijani kali.
We jamaa bwege kweli sasa kilichokufanya unikimbie nini?
Mama naomba unionyeshe baba yangu au ni zile show zako za chap chap za kuchanganya wanaume zilifanya nipatikane?Kumbe hata mama'ko humjuwi! Pole sana.
Ungetumia fursa ya kwenda uwanja wa Taifa ukaomba wakutangazie kumtafuta baba'ko.
You never know labda ni katika wapenda vya bure waliojazana huko.
Hukuenda uwanjani?Mama naomba unionyeshe baba yangu au ni zile show zako za chap chap za kuchanganya wanaume zilifanya nipatikane?
Hiyo nibangi acha ubishi mwisho utaona picha yanyerere kwenye kitandaWadau mimi sinywi pombe wala sivuti bangi .Ila kwa mlioongea mambo hayo najua mmetimiza unabii wa Yesu kuwa mtu husema yaujazayo moyo wake.
Msiwaogope hao watu,labda ni new human
kikinuka mimi simoMsiwaogope hao watu,
Ni wageni wetu kutoka"Sayari ya Nibiru"