Nimekutana na binadamu wa ajabu leo

Nimekutana na binadamu wa ajabu leo

Leo asubuhi nimekutana na kitu cha ajabu. Mpaka sasa mwili unasisimka!Tofauti na binadamu wa kawaida yeye macho yake yako kifuani na siyo mawili bali manne!Ukweli miguu sikuiona ila kichwa kilikuwepo na hata mikono!Kadri nilivyozidi kumsogelea nilikuwa nikipigwa na upepo mithili ya beach.

Ilifika hatua uzalendo ukanishinda na kutimua mbio mpaka nilipofika barabara kuu ambapo nashukuru magari yalikuwa yakipita.Ajabu alikuwa kavaa nguo ambayo hadi sasa nimeshindwa kujua ni rangi gani maana ilikuwa ikibadilika.Macho niliweza kuyaona kwasababu mboni zilikuwa za kijani kali.

Ulikosea kitu kimoja ... unge TWANGA FOTO na ku selfika nae!
 
Mama yangu ni wewe ila baba ndio simjui

Kumbe hata mama'ko humjuwi! Pole sana.

Ungetumia fursa ya kwenda uwanja wa Taifa ukaomba wakutangazie kumtafuta baba'ko.

You never know labda ni katika wapenda vya bure waliojazana huko.
 
Acheni kutuchekesha humu jamani,cna mbavu mie
 
Leo asubuhi nimekutana na kitu cha ajabu. Mpaka sasa mwili unasisimka!Tofauti na binadamu wa kawaida yeye macho yake yako kifuani na siyo mawili bali manne!Ukweli miguu sikuiona ila kichwa kilikuwepo na hata mikono!Kadri nilivyozidi kumsogelea nilikuwa nikipigwa na upepo mithili ya beach.

Ilifika hatua uzalendo ukanishinda na kutimua mbio mpaka nilipofika barabara kuu ambapo nashukuru magari yalikuwa yakipita.Ajabu alikuwa kavaa nguo ambayo hadi sasa nimeshindwa kujua ni rangi gani maana ilikuwa ikibadilika.Macho niliweza kuyaona kwasababu mboni zilikuwa za kijani kali.
We jamaa bwege kweli sasa kilichokufanya unikimbie nini?
 
Kumbe hata mama'ko humjuwi! Pole sana.

Ungetumia fursa ya kwenda uwanja wa Taifa ukaomba wakutangazie kumtafuta baba'ko.

You never know labda ni katika wapenda vya bure waliojazana huko.
Mama naomba unionyeshe baba yangu au ni zile show zako za chap chap za kuchanganya wanaume zilifanya nipatikane?
 
Wadau mimi sinywi pombe wala sivuti bangi .Ila kwa mlioongea mambo hayo najua mmetimiza unabii wa Yesu kuwa mtu husema yaujazayo moyo wake.
Hiyo nibangi acha ubishi mwisho utaona picha yanyerere kwenye kitanda
 
Back
Top Bottom