Nimekutana na binti maarufu wa jamiiforums asubuhi ya leo kwenye daladala

Nimekutana na binti maarufu wa jamiiforums asubuhi ya leo kwenye daladala

Ana Siku 8 pekee toka awe Mwana chama wa JF

lakufurahisha zaidi ndani ya siku hizo 8 amekula Banned[emoji3][emoji3]
Inasikitisha sana, kwanini mods wenzangu wananilima ban? [emoji24][emoji24]
 
Yaan umepigwa BAN alafu una-comment huo uwezo umeutoa wapi mkuu?
Mimi ndo yule aliyekuwa mwanafunzi wa UDSM akasoma miaka mitatu bure pasi na kulipia, lakini dashboard yake ya Aris ikawa inasoma Payments made successful
 
2756823_JamiiForums-1851313687.gif
 
Unadhani wewe ni wa kwanza kufanya hivyo?
Hapana, kama kuna members wanatumia avatar ya ban kama kitambulisho wanatukosea sana sisi mods, tutawalima maban ya miezi miwili miwili. Ila mimi nimelimwa ban la kiukweli mkuu
 
Back
Top Bottom