Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
-
- #21
Inasikitisha sana, kwanini mods wenzangu wananilima ban? [emoji24][emoji24]Ana Siku 8 pekee toka awe Mwana chama wa JF
lakufurahisha zaidi ndani ya siku hizo 8 amekula Banned[emoji3][emoji3]
Ni Kanjanja mmoja wa Pre-Form One CHuyu kaweka ile DP ya ban mkuu.ila hajapigwa ban
Na kweli mkuu, ngoja nimalize kifungo changu. Nitawaamshia uzi [emoji24][emoji24]Mods sio wa mchezo mchezo
Wewe ndio yule Zanzibar2014Wacha wee
Mimi ndo yule aliyekuwa mwanafunzi wa UDSM akasoma miaka mitatu bure pasi na kulipia, lakini dashboard yake ya Aris ikawa inasoma Payments made successfulYaan umepigwa BAN alafu una-comment huo uwezo umeutoa wapi mkuu?
Nimekutafutia neno chafu nimekosa, acha nikupotezee tuMimi ndo yule aliyekuwa mwanafunzi wa UDSM akasoma miaka mitatu bure pasi na kulipia, lakini dashboard yake ya Aris ikawa inasoma Payments made successful
[emoji15][emoji15]Jaribu kuiweka uone, ndo utajua kumbe mods hatuna mchezo. Weka tu uone kama hatujakulima ban la wiki moja.Huyu kaweka ile DP ya ban mkuu.ila hajapigwa ban
Unadhani wewe ni wa kwanza kufanya hivyo?[emoji15][emoji15]Jaribu kuiweka uone, ndo utajua kumbe mods hatuna mchezo. Weka tu uone kama hatujakulima ban la wiki moja.
Hapana mkuu, haka ka binti kenye mtrako skonzi, kiuno nyigu na rangi ya maziwa kalinivutia sana aisee. Nilijikuta nashindwa kujizuiaNjaa mbaya Sana ...angalia usibake wadogo zetu mtaani
Na kweli mkuu, ipo siku na mimi nitazeeka na kuwa Zee KorofiNi Kanjanja mmoja wa Pre-Form One C
Hapana mkuu, lazima mtaugundua uandishi wake. Hauna utofauti, mwisho wa siku ataninyima kipochi manyoyaScreenshot hizo message alafu ficha id yake[emoji2][emoji2][emoji2]
Shukhrani mkuu, tuko pamoja sanaNimekutafutia neno chafu nimekosa, acha nikupotezee tu
Hapana, kama kuna members wanatumia avatar ya ban kama kitambulisho wanatukosea sana sisi mods, tutawalima maban ya miezi miwili miwili. Ila mimi nimelimwa ban la kiukweli mkuuUnadhani wewe ni wa kwanza kufanya hivyo?
Alimaarufu km Babu JingaNa kweli mkuu, ipo siku na mimi nitazeeka na kuwa Zee Korofi