Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.

Ile barabara inajengwa mimi ninaishi Mbezi beach. Yale majengo yaliyopo barabarani hayakuwepo kipindi hicho mwaka 2012.

Kutokana namaelezo yako haujaishi mbezi bali umeishi kawe mkuu. Unaijua rainbow?
 
Kutokana namaelezo yako haujaishi mbezi bali umeishi kawe mkuu. Unaijua rainbow?
Kwani lote lile siyo jimbo la Kawe?. Nimeondoka Mbezi beach tumejenga Kijichi tumehamia. Nyumba Mbezi beach tumeuza ilikuwa karibu na uwanja wa shabaha, karibu na iliyokuwa Club Oasis kama unaikumbuka.
 
Kuna mmoja nilimtongoza fb akaniambia anaishi daviscorner temeke nikampotezea
We Kibwengo kabla hujatongoza mtoto wa mtu uliza anakoishi...

By the way, vile visamaki na mihogo na machachandu ya pale coco beach Dar, kuna wa Mbagala au Devis corner anakwenda kula pale..??
 
Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.

Ile barabara inajengwa mimi ninaishi Mbezi beach. Yale majengo yaliyopo barabarani hayakuwepo kipindi hicho mwaka 2012.
Achana na watoto waliopanga boys quarter.
 
Ndugu zangu mambo vipi.

Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa wangu.

Kama kawaida nikaomba namba freshy zikapita kama siku2 sasa jana nikaikumbuka nikaipandia kwa air. Tukapigq story sana sana yani kwa muda mchache tulishatengeneza chemistry nzuri sana.

Nilimwuliza unaishi wapi jibu lake ndo liliniacha hoi ikabid nivute pumzi kwanza. Alinambia naishi mbagala yaani daah hapa ndo mzuka ulikata ghafula. Nilitegemea yule mrembo angenambia anakaa mbezi beach, masaki, survey, mikocheni kutokana na alivo. Yaani pisi za huko sijui magomeni, kigogo sijui tandika yaani daah huwa siwaelewi kabisa.

Amenitext leo asbh hata sijajibu kwakweli mnaotoka na pisi za hayo maeneo nipeni experience zenu.
Acha woga njemba. Utamu ule ule na siajabu zaidi kuliko ushuani. Fanya hima uumpe haki yake. Hutaki? Toa contacts. Mkulima hachaguwi jembe Mwanaume.
 
Champagnee na sisi tunaoishi bondeni Johansberg tunaiona masaki na osterbay kama jalala tuu wanakoishi watu wasiojiweza๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜œ๐Ÿคช
 
Back
Top Bottom