Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
๐๐๐๐๐Azidili pamlomo mlongo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Azidili pamlomo mlongo..
Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.
Ile barabara inajengwa mimi ninaishi Mbezi beach. Yale majengo yaliyopo barabarani hayakuwepo kipindi hicho mwaka 2012.
Kuna mmoja nilimtongoza fb akaniambia anaishi daviscorner temeke nikampotezea
Kwani lote lile siyo jimbo la Kawe?. Nimeondoka Mbezi beach tumejenga Kijichi tumehamia. Nyumba Mbezi beach tumeuza ilikuwa karibu na uwanja wa shabaha, karibu na iliyokuwa Club Oasis kama unaikumbuka.Kutokana namaelezo yako haujaishi mbezi bali umeishi kawe mkuu. Unaijua rainbow?
๐๐๐๐๐JAMANI SIO VIZURIKuna mmoja nilimtongoza fb akaniambia anaishi daviscorner temeke nikampotezea
We Kibwengo kabla hujatongoza mtoto wa mtu uliza anakoishi...Kuna mmoja nilimtongoza fb akaniambia anaishi daviscorner temeke nikampotezea
Hapo Kazi Ipo.[emoji23]Nimekutana na hiyo pisi jana, kwanza imefika iko hoi inanuka jasho balaaa aiseee mpaka nikaona aibu [emoji28][emoji28][emoji28]
Swala la chemistry achana nalo... hao week tuu inakuwa Physics
Proud Mbagala Zackiem's resident, kama kuishi masaki na mbezi beach kunaongeza mvuto wa papuchi sawa, sisi tunajivunia mbagala yetu, kugombania daladala na kuingilia madirishani raha[emoji23]
Ana gari ?
Hivi Survey kuna uzuri gani?Mbagala ni Mbagala tuu. Sawa sawa na Msasani,hata Msasani Mikoroshini nayo ni Msasani sawa na ile ya Cholo.
Achana na watoto waliopanga boys quarter.Shida ya nyinyi muliokuja juzi na kufikia Mbezi beach ndiyo munajifanya kujua sana. Kwani Mlalakuwa iko wapi? Kawe road ndiyo ipi? Si ndiyo karibu na junction ya Old Bagamoyo road, au hujui kwamba hiyo barabara ikiitwa hivyo? Vichochoro vyote vya kupita pale ambapo sasa hivi ndiyo panajengwa majengo (Kawe complex I believe) tumepita kijana. Ilikuwa kabla hata lile daraja la kona anapoishi (yule aliyekuwa mkuu wa Usalama nimemsahau jina) halijajengwa na tukipita kwenye mto, ikinyesha mvua huwezi kupita mpaka upite Ali Hassan Mwinyi Road.
Ile barabara inajengwa mimi ninaishi Mbezi beach. Yale majengo yaliyopo barabarani hayakuwepo kipindi hicho mwaka 2012.
Acha woga njemba. Utamu ule ule na siajabu zaidi kuliko ushuani. Fanya hima uumpe haki yake. Hutaki? Toa contacts. Mkulima hachaguwi jembe Mwanaume.Ndugu zangu mambo vipi.
Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa wangu.
Kama kawaida nikaomba namba freshy zikapita kama siku2 sasa jana nikaikumbuka nikaipandia kwa air. Tukapigq story sana sana yani kwa muda mchache tulishatengeneza chemistry nzuri sana.
Nilimwuliza unaishi wapi jibu lake ndo liliniacha hoi ikabid nivute pumzi kwanza. Alinambia naishi mbagala yaani daah hapa ndo mzuka ulikata ghafula. Nilitegemea yule mrembo angenambia anakaa mbezi beach, masaki, survey, mikocheni kutokana na alivo. Yaani pisi za huko sijui magomeni, kigogo sijui tandika yaani daah huwa siwaelewi kabisa.
Amenitext leo asbh hata sijajibu kwakweli mnaotoka na pisi za hayo maeneo nipeni experience zenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niheki hadi maholi gihuma,Azidili pamlomo mlongo..