Nimekutana na jini Kariakoo sokoni

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI.

Nimeogopa sana. SHIKAMOOO JIIINI
 
Wewe tu ndo ulimuona hivo au wengi??
 
wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI. nimeogopa sana. SHIKAMOOO JIIINI
Picha iko wapi..
 
Yani uliongeanae akakuchekea then ukamuona anajino 1, alafu akakuonyesha alichobeba kwenye kikapuchake????. Au ilikuwaje.
 
Yani uliongeanae akakuchekea then ukamuona anajino 1, alafu akakuonyesha alichobeba kwenye kikapuchake????. Au ilikuwaje.

mkuu nilimuangalia kwa umakini ndo nikagundua ana hivyo vitu
 
Nini hawezi kuwa na mguu wa kwato. Jini ni ghost kwa hiyo atakuwa kama binadamu. Haifai kuandika careless remarks kuhusu haya mambo ya uchawi. Watu wanauawa kwa kushukiwa wachawi.
 
Nini hawezi kuwa na mguu wa kwato. Jini ni ghost kwa hiyo atakuwa kama binadamu. Haifai kuandika careless remarks kuhusu haya mambo ya uchawi. Watu wanauawa kwa kushukiwa wachawi.

mkuu kwani na wewe ni jini?
 
Uliangaliaje kwenye kikapu?
Alikukenulia mdomo wewe peke yako?
Akakufunulia na mguu uone peke yako?
Hizi bangi hizi zitawafanya vibaya
 
Uliangaliaje kwenye kikapu?
Alikukenulia mdomo wewe peke yako?
Akakufunulia na mguu uone peke yako?
Hizi bangi hizi zitawafanya vibaya

mkuu hujawahi kutokewa na jini?
 
post zingine bwana, ukutane na jinni then uweze angalia jino, kwato, ulimi na ana kitu gani kwenye kikapu. Masihara haya jamani.
 
Sio kwa mfumo huo unaoongea, hizo fix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…