Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha iko wapi..wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI. nimeogopa sana. SHIKAMOOO JIIINI
Weka picha....
Wewe tu ndo ulimuona hivo au wengi??
Yani uliongeanae akakuchekea then ukamuona anajino 1, alafu akakuonyesha alichobeba kwenye kikapuchake????. Au ilikuwaje.
.....ulimpenda kwa hiyo?mkuu nilimuangalia kwa umakini ndo nikagundua ana hivyo vitu
.....ulimpenda kwa hiyo?
Nini hawezi kuwa na mguu wa kwato. Jini ni ghost kwa hiyo atakuwa kama binadamu. Haifai kuandika careless remarks kuhusu haya mambo ya uchawi. Watu wanauawa kwa kushukiwa wachawi.
picha please
Uliangaliaje kwenye kikapu?
Alikukenulia mdomo wewe peke yako?
Akakufunulia na mguu uone peke yako?
Hizi bangi hizi zitawafanya vibaya
post zingine bwana, ukutane na jinni then uweze angalia jino, kwato, ulimi na ana kitu gani kwenye kikapu. Masihara haya jamani.