Yummie
JF-Expert Member
- Sep 12, 2015
- 1,363
- 1,081
Nawe niombee yasinitokeeyummie, nimekutana nayo live usiombe yakutokee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe niombee yasinitokeeyummie, nimekutana nayo live usiombe yakutokee
Sasa si ungelala Mikumi? mbona kama umezidisha safari?& then ulikuwa makini kuchunguza ! hadi ukabaini smart phone kuwa ni galaxy. hakika wewe ni noma!wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
Hahahahaaa huyu jamaa anapenda Galaxy sana,kuna siku aliwahi kuleta story ya nyani aliyepora Galaxy mikumi.Uko vizuri Mkuu kwa story, mmesalimiana ukagundua ana smartphone tena Galaxy? Basi hayo ya Mikumi balaaa. Kapumzike viroba viishe kichwani
Huyu inaonyesha alisimama wakaongea nae, kwa kuwa hivi sasa ni usiku ni ngumu kujua aina ya simu kwa kuona tu, ittakua alimuomba aione hiyo simu, au alimuuliza hivi. Jinie hivi hiyo simu yako ni aina gani? Ndipo akampa jibu.Uko vizuri Mkuu kwa story, mmesalimiana ukagundua ana smartphone tena Galaxy? Basi hayo ya Mikumi balaaa. Kapumzike viroba viishe kichwani
Ha ha ha Galaxy.Hahahahaaa huyu jamaa anapenda Galaxy sana,kuna siku aliwahi kuleta story ya nyani aliyepora Galaxy mikumi.