nimekutana na jini, muda huu

nimekutana na jini, muda huu

M110, kitu kilikua kimelala barabarani sasa ningepitaje kwenda mikumi town?
 
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
Sasa si ungelala Mikumi? mbona kama umezidisha safari?& then ulikuwa makini kuchunguza ! hadi ukabaini smart phone kuwa ni galaxy. hakika wewe ni noma!
 
Khaaaaa we jamaa ni muongo hakunaga,eti kashika smart 4n ya galax,,hukawii kutuambia alikuwa anatafuta kifurushi cha chuo ajiunge,,,au alikuwa anapiga selfie na tembo..utakuwa umevimbiwa miwa ya kilombero.
 
Uko vizuri Mkuu kwa story, mmesalimiana ukagundua ana smartphone tena Galaxy? Basi hayo ya Mikumi balaaa. Kapumzike viroba viishe kichwani
Hahahahaaa huyu jamaa anapenda Galaxy sana,kuna siku aliwahi kuleta story ya nyani aliyepora Galaxy mikumi.
 
Uko vizuri Mkuu kwa story, mmesalimiana ukagundua ana smartphone tena Galaxy? Basi hayo ya Mikumi balaaa. Kapumzike viroba viishe kichwani
Huyu inaonyesha alisimama wakaongea nae, kwa kuwa hivi sasa ni usiku ni ngumu kujua aina ya simu kwa kuona tu, ittakua alimuomba aione hiyo simu, au alimuuliza hivi. Jinie hivi hiyo simu yako ni aina gani? Ndipo akampa jibu.
 
yummie, litakutokea leo usiku wa manane lazima tena litatokea uvunguni mwa kitanda chako litakua limebeba mzoga wa tembo sijui utafanyaje leo usiku
 
ulilewa yalitaka kukubaka. mida hiyo yanalinda tembo wetu. yanalipwa na Proph. Magombe
 
Back
Top Bottom