TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Eti Mkuu wa Nini?😀😀😀Ngoja nitamdokeza Mkuu wa usalama ,barabarani yakamatwe mara Moja . Sio utaratibu wa inchi yetu huu.
Eti Mkuu wa Nini?😀😀😀Ngoja nitamdokeza Mkuu wa usalama ,barabarani yakamatwe mara Moja . Sio utaratibu wa inchi yetu huu.
Kwanini nyinyi ccm mnawachukia sana watu wanaopenda kuhoji?....hii sio nchi yenye raia wapumbavu na wajinga pekee.Fanya mambo yako pilipili usisozila za kuwashia nini
Unataka kusema nini Mwijaku??Kwa jicho la haraka unaweza sema wanajipendekeza ila deep down mwenzako anasomesha watoto hapo el shadai ada million.
Uhakika wa afya
Uhakika wa kila kitu anao
😂😂😂😂 Bana hiki kikao leo hatareeeeUnataka kusema nini Mwijaku??
Na mimi nimeliona Buzuruga🙌Mimi nimeliona moja huku machimboni nyamikoma
Wekeni na NRNE 25 30Kwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu.
Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani?
Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?View attachment 3350494
Nchi hii imejaa watu wajinga sana.Kwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu.
Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani?
Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?View attachment 3350494
Acha ukuma wewe Fala ***** usiyekuwa na akili sasa gari hiyo ikisababishq ajali ikakimbia hata kama umeisoma namba hiyo utawezaje kulitrace.Fanya mambo yako pilipili usisozila za kuwashia nini
Nchi imeharibiwa sana hii. Mpaka utaratibu wote umevurugwa sbb tu ya kuabudu watuKwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu.
Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani?
Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?View attachment 3350494
Na uzuri Job na mapungufu yake yote, bado aliweza kutahadharisha mapema sana. Kilichobakia sasa ni utekelezaji tu wa kufanikisha huo mnada.Urais unatakiwa kwa gharama zote.. Jiulize kuna nini nyuma yake? Tanganyika iko mnadani
Watu wengi wa namna hii wana makando kando sana. Hizi ni Camoflage strategiesKwasasa Dodoma kuna magari yana usajili huu.
Usajili huu wa kufanana hauwezi kuleta shida huko barabarani?
Je ni mahaba au kujipendekeza kwa Rais?View attachment 3350494