PreGE2025 Nimekutana na magari mengi hapa Dodoma yakiwa na usajili huu, ndio mahaba au kujipendekeza?

PreGE2025 Nimekutana na magari mengi hapa Dodoma yakiwa na usajili huu, ndio mahaba au kujipendekeza?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wakishapigwa tambiko la kushikiliwa ufahamu, hakuna ujinga utaacha kuona...
 
Haziruhusu , hairuhusiwi namba moja itumike kwenye gari zaidi ya moja hata ukienda tra kutengeneza special namba au jina kama kuna mtu alishaitumia namba au jina hilo unaambiwa ubadilishe
Kama tunakanyaga sheria tulizoweka wenyewe, inafikirisha sana!
 
Back
Top Bottom