Nimekutana na monitor wangu wa darasa amechoka, yaani amechakaa kinoma!

Mtafute ,alisaidia kukujenga.Kwani aliyokushtaki nayo si uliyafanya kweli?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mbona unamtetea hivyoo? Hujiulizi kwanini ana maisha magumu? Ni malipo ya ule unoko wake. Huyo ni snitch hata ukimsaidia utakuja kukuta ndio anguko lako!
 
Hilo neno.
 
Kuna vitu 4 hutokea kwa maelezo yako.
1.Kuna demu ulikua unakua nae na yy alikua anampenda
2.ulikua unamzidi darasani
3.ulikua mbabe kuliko yy
4.hakupendi tu bila sababu yy
 
Kuna vitu 4 hutokea kwa maelezo yako.
1.Kuna demu ulikua unakua nae na yy alikua anampenda
2.ulikua unamzidi darasani
3.ulikua mbabe kuliko yy
4.hakupendi tu bila sababu yy
Alikuwa mnoko ijapokuwa namba 2 na 3 siwezi kuvikataa!
 
Pamoja na kiherehere cha huyo monitor ila nina uhakika wewe ulikua mkora, haiwezekani kila uhalifu unasingiziwa wewe tu.
Alikuwa na husda we si umesoma mkuu cunajua kuna wale wanapenda kujipendekeza sana kwa walimu! Bila kujua ya kesho.
 
Pumbavu anaona adhabu ni kumkomoa.kumbe adhabu inataka urekebishwe uwe kijana mzuri.ingekuwa kipindi chetu tunasoma nadhani ungeishia darasa la tatu,maana tulikuea tunaenda kwa stiki.Na mwalimu aliyekuwa anachapa mara kwa mara.nilimpelekea katoni la sukari nilivyo kuwa mkubwa.
 
Sio bure akuchongee kila Mara yawezekana ulikula demu wake
 
Miaka yote hiyo umebeba kisasi tu moyoni...loh ndo maana mnazeeka mapema na kufa
 
Mimi hata kama mtu amenikosea vipi na ninamchukia ila akinijia na shida huwa nasahau yote naangalia jinsi ya kutatua shida yake kwani najua neno shida mpaka mtu anakufuata huwa anamaanisha maana hata mimi mpaka nimfuate mtu ninashida fulani hapo ninakuwa nimepigika kikweli kweli .
 
Watu wengi wanapata faraja sana kuona watu waliokuwa vizuri darasani wamechapwa na maisha. Huu ndo uchawi wenyewe hakuna uchawi mwingine
Hahahaha! Sijui ni kwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…