Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina ubaya na mtu...Wewe mbona hujasamehe?
Nongwa za shule huwa zinaisha pale mnapomaliza.Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Asinijue tena! Sasa naendeleza nini kumkataa?Nongwa za shule huwa zinaisha pale mnapomaliza.
Mkikutana baada ya kumaliza yale yote mnachukulia km maamuz ya kitoto na maisha yanaendelea km hakuna kilichotokea.
Sasa km ww unaendeleza unakua mtu wa ajabu kumuhukumu mtu kwa matukio ya kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mr poker nilisoma naye advance perfect high school,ndio wewe nini?B poker?
Yaani kwa tabia zako mbaya zote hizo bado unamlaumu kiranja.Siunajua katika stages za kukua. Tukashauriana na mwana tukamchungulie mwalimu chooni jamaa naye huyoo badala hata ya kuvunga kaenda kuripoti tukaja kudakwa hpo hpo tukiwa tunakula chabo.
Monitor ni mtu mdogo sana shuleni wala hata sioni chochote cha ajabuMilima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Duh, wewe ulikuwa balaa, yaani unamchabo Mwalim wa kike akiwa anakata GOGO!Siunajua katika stages za kukua. Tukashauriana na mwana tukamchungulie mwalimu chooni jamaa naye huyoo badala hata ya kuvunga kaenda kuripoti tukaja kudakwa hpo hpo tukiwa tunakula chabo.
Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Kwa jinsi ulivyojieleza hayo yoote unayosema hakukuchongea ni kweli mtupu. Sasa nichoweza kukufundisha ndugu yangu ni hiki.Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.