Nimekutana na monitor wangu wa darasa amechoka, yaani amechakaa kinoma!

sasa mambo ya shule ya msingi ndo umeyaweka rohoni mpaka sasa,hata wewe utakuwa kapuku otherwise ungemsidia
 
Nongwa za shule huwa zinaisha pale mnapomaliza.

Mkikutana baada ya kumaliza yale yote mnachukulia km maamuz ya kitoto na maisha yanaendelea km hakuna kilichotokea.

Sasa km ww unaendeleza unakua mtu wa ajabu kumuhukumu mtu kwa matukio ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asinijue tena! Sasa naendeleza nini kumkataa?
 
Siunajua katika stages za kukua. Tukashauriana na mwana tukamchungulie mwalimu chooni jamaa naye huyoo badala hata ya kuvunga kaenda kuripoti tukaja kudakwa hpo hpo tukiwa tunakula chabo.
Yaani kwa tabia zako mbaya zote hizo bado unamlaumu kiranja.

Huoni alikusaidia kubadilika tabia japo hukubadilika 100%?

Kama ulipewa adhabu kali zote hizo hukujirekebisha kwa wakati, je usingepewa adhabu kabisa si ungembaka huyo mwalimu?
 
Yaani mambo ya udogoni unayaleta ukubwani, mshkaji alikuwa sahihi kwa wakati huo, ata yy kuna siku atakukuta umechoka pia, acha kuzingua!
 
Monitor ni mtu mdogo sana shuleni wala hata sioni chochote cha ajabu
Wewe kama unajiweza MSAIDIE tu, Hayo ya shuleni achana nayo alikuwa anatimiza wajibu tu...
 
Huyo usimfanyie ubaya, ila usimsaidie kwa chochote.. watu kama hao huwa ndo tabia zao. Unaweza kumpa mchongo akakusaliti vilevile akakuharibia maisha
 
Siunajua katika stages za kukua. Tukashauriana na mwana tukamchungulie mwalimu chooni jamaa naye huyoo badala hata ya kuvunga kaenda kuripoti tukaja kudakwa hpo hpo tukiwa tunakula chabo.
Duh, wewe ulikuwa balaa, yaani unamchabo Mwalim wa kike akiwa anakata GOGO!
 

Kwa dharau huyo Ungempa hata buku mbili akale mchana maana usikute hapo alikuwa anazunguruka maofisini kutafuta connection za kazi huku tumboni kuna piga filimbi za gesi yani taa nyekundu imemuwakia. Watu kama hao hawafai hata kupewa office zenye mamlaka kwani wataendeleza ubabe wao wa kisenge wa shuleni bora ulivyomkataa na ameona Aibu sana kilaza huyo
 
Kwa jinsi ulivyojieleza hayo yoote unayosema hakukuchongea ni kweli mtupu. Sasa nichoweza kukufundisha ndugu yangu ni hiki.
Kila cku katika maisha haya tunajifunza. So pale ambapo Mungu kakupitisha ucpachukulie ni kikwazo kwako bali elimu. Huwez kujua na wewe miaka mitatu mbele ukachoka vilevile na akawa boss wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…