Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
πππ!Ulifikia hatua ya kuchungulia watu chooni? (achalia mbali Mwlm!! ) wewe ulikuwa hatari ! Sijui kwa vipi, walimu nao wakakulea sana wakachelewa kukufukuza!
Aiseee.somo lake atakuwa amelipata vizuri.Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Si umesikia mkuu hapo kataja matukio ya kusingiziwa. Shida iko hapo.Watu huchukiwa pale wanapotimiza majukumu yao, akili yako inakutuma kwamba, yeye na umonitor wake angelikuwa kama wewe.
By the way, ulitaka aweje?
akili zako ziko mata koniMilima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Naona umeamua.kunisema,sawa maisha yako mungu akujalieMilima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Mbona wewe hauko humble?Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika noise maker, mbaya zaidi nilishapewa adhabu ya kung'oa visiki kisa alinichongea nimemtukana. Mbaya zaidi alishanichongea kwa discipline master nimemchungulia mwalimu wa kike chooni, sitasahau siku hiyo hiyo walimu walinichangia staff room pale mpaka jasho linawatoka!
Yaani nilichezea kichapo mpaka kutembea siwezi najiburuta, darasani kwenye kiti ukikaa maumivu kama yote. Yaani kila nikimwangalia simpatii jawabu. Hakuchoka kali zaidi akaja nichoma nimeiba nyama jikoni nakumbuka ilikuwa siku ya graduu! Nikapelekwa staff tena mwalimu mmoja kanishika miguu mwingine mikono aisee nilichezea stiki za ujazo wote, nilipoachiwa na shule nikatoroka mpaka home kuulizwa kulikoni nikasimulia, kesho yake nikarudishwa shule nikalimwa suspension ya wiki 2.
Siku ya kuripoti likaitishwa parade pale shule kwahiyo nilikuwa nimekuja na rafiki wa mshua kama mzazi, dah akaambiwa anichape mbele ya wanafunzi wote na yeye alinipa stiki balaa. Siku ya kumaliza shule baada ya mtihani wa national form 2 nilipewa barua nipeleke home, nikaisoma kwanza kumbe ilikuwa ya kufukuzwa shule.
Ila one day yes, nimekutana naye ananiomba connection za town na kujidai ananisifia sana ila kila nikikumbuka madhila yake kule nyuma naona huyu ni snitch tuu! Nikaona isiwe tabu nikampa makavu asinijue tena nisije muitia mwizi hapa town!
NB: Mpatapo nafasi jamani jaribuni kuwa humble na kuishi na watu vizuri, siyo kuwachongea kwani life changes in a blink of an eye!
Ulikuwa kilaza sanaππππSiunajua katika stages za kukua. Tukashauriana na mwana tukamchungulie mwalimu chooni jamaa naye huyoo badala hata ya kuvunga kaenda kuripoti tukaja kudakwa hpo hpo tukiwa tunakula chabo.