Nimekutana na mwanamke wa ajabu jioni ya leo. Jina la Bwana lihimidiwe

Achàna naye kaa na wake zako wawili nakabla hujaachana naye mwambie ukweli ila kama hutaki basi ila wewe unahitaji maombi unamatatizo kwenye ngono wake wawili na mchepuko Tena ???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji13][emoji174]
Wanawake mmeumbwa kuvutia, mwanamke ni chakula cha mwanaume. Sio kila siku wali ugali, sometimes tunabadili na kula tambi[emoji3][emoji3]
 
Mbali na kuwa kwenye ndoa ya wake wawili waaminifu, nina mchepuko wangu anayeishi mtaa fulani. Mchepuko huyu nilimpatia mtaji, kwa kuwa yuko na akili ya maisha, alifanikiwa kufungua biashara na kuiendesha yeye kama yeye, biashara yenyewe ni ya uuzaji wa mboga i.e nyama za ndege, yaani kuku na bata

Mbali na kuwa na biashara yake inayompatia mamilioni ya pesa kwa siku, mchepuko huyu hana moyo wa huruma, kila siku huniomba pesa ya meza kana kwamba huwa ninakula kwake kila siku. Naumia sana ila najikaza kisabuni. Kuna muda mchepuko huyu hudiliki kuniomba pesa ya kujinunulia nguo au pedi, hapo ndipo huwa natamani kukipangua kibanda chake kwa mateke ya hapa na pale maake naona hakina msaada naye. Kuna siku nilitamani kumuwasha mbata hadharani pale aliponiambia eti tumtumie mama yake pesa ya sukari. Sasa biashara yake inamsaidia nini? Kwani mimi ni mumewe?

Mida ya saa kumi na mbili leo hii, amekuja binti mmoja mzuri na wa kuvutia, umbo lake lilifanana na chupa ya soda ya cocacola lililofunikwa na ngozi swaafi ya mzeituni, mkono wake wa kushoto uliushikilia mkono wa kuume wa kijana mmoja wa kufanana naye, nilidhani nimetembelewa na malaika wasio na mabawa

Basi bwana, nikaamua kuwalaki. Binti alikuwa si haba akaamua kuulizia bei ya nyama hizo, nikawa nimemtajia elfu tatu kwa elfu saba. Baada ya kushauriana, binti akaniomba nimfungie mboga ya 10k, muda huo yule kijana alikuwa akibubujikwa kijasho chembamba kuuzunguka mwili wake kuashiria hali ngumu ya maisha huku macho yake yakionesha wazi kuomba kikombe hicho kimuepuke

Kijana yule wa kiume ndipo kuniuliza totali ya mboga ile, baada ya kumwambia 10k aliingia kwa wallet na kuchomoa 10k iliyochakaa huku akiacha vumbi tu kwenye wallet ile. Binti alimuangalia kijana yule kwa huruma sana kisha kumwambia, "Usiwaze Denis, acha tu ntalipa". Mimi na Denis bila kumsahau mchepuko wangu tulipigwa na butwaa, ila mimi nilipigwa na butwaa kubwa kuwazidi wote huku nikiutazama ule mchepuko na kutikisa kichwa mithili ya mganga wa Yoruba kumwelekezea mchepuko kumaanisha kuwa mchepuko wangu ni kichwa box tupu la mbao

Niliipokea ile hela ya binti kwa heshima kubwa na taazima huku nikisindikizwa na mizinga mizito kutoka moyoni huku nikitoa matamshi ya kumchoma mchepuko wangu. Sauti ya Denis iliyonena, " Acha tu mpenzi, nitalipa mwenyewe tu" ilitaradadi kwa huruma ya hali ya juu pasi na kusikilizwa

Nilibaki nikimtazama binti akiwa anaishiria kuelekea kusikojulikana huku nikimuomba Mola anijaalie binti kama huyo ili awe mke wa tatu, au anipatie huyo huyo kama ikiwezekana

Ndipo kumuaga mchepuko huyo na kurejea nyumbani. Muda huu nipo kwa mke mdogo, tayari nimekwisha oga, nasubiri kuichapa baada ya makala kwa runinga
Nimeishia hapo uliposema biashara ya mchepuko wako inamuingizia mamilioni kwa siku.

Melki the storyteller can't tell a good story!
 
Mkuu una mke, una mke mdogo na pia una mchepuko.
Wote wanakutegemea halafu kipato chako kinaonekana ni Tia maji Tia maji.
Jamaa maisha magumu unajitakia mwenyewe
 
Hapana, ni kwa vile tumeumbiwa mateso na kuhangaika. Uanaume kazi
 
Mbali na kuwa kwenye ndoa ya wake wawili waaminifu, nina mchepuko wangu anayeishi mtaa fulani. Mchepuko huyu nilimpatia mtaji, kwa kuwa yuko na akili ya maisha, alifanikiwa kufungua biashara na kuiendesha yeye kama yeye, biashara yenyewe ni ya uuzaji wa mboga i.e nyama za ndege, yaani kuku na bata

Mbali na kuwa na biashara yake inayompatia mamilioni ya pesa kwa siku, mchepuko huyu hana moyo wa huruma, kila siku huniomba pesa ya meza kana kwamba huwa ninakula kwake kila siku. Naumia sana ila najikaza kisabuni. Kuna muda mchepuko huyu hudiliki kuniomba pesa ya kujinunulia nguo au pedi, hapo ndipo huwa natamani kukipangua kibanda chake kwa mateke ya hapa na pale maake naona hakina msaada naye. Kuna siku nilitamani kumuwasha mbata hadharani pale aliponiambia eti tumtumie mama yake pesa ya sukari. Sasa biashara yake inamsaidia nini? Kwani mimi ni mumewe?

Mida ya saa kumi na mbili leo hii, amekuja binti mmoja mzuri na wa kuvutia, umbo lake lilifanana na chupa ya soda ya cocacola lililofunikwa na ngozi swaafi ya mzeituni, mkono wake wa kushoto uliushikilia mkono wa kuume wa kijana mmoja wa kufanana naye, nilidhani nimetembelewa na malaika wasio na mabawa

Basi bwana, nikaamua kuwalaki. Binti alikuwa si haba akaamua kuulizia bei ya nyama hizo, nikawa nimemtajia elfu tatu kwa elfu saba. Baada ya kushauriana, binti akaniomba nimfungie mboga ya 10k, muda huo yule kijana alikuwa akibubujikwa kijasho chembamba kuuzunguka mwili wake kuashiria hali ngumu ya maisha huku macho yake yakionesha wazi kuomba kikombe hicho kimuepuke

Kijana yule wa kiume ndipo kuniuliza totali ya mboga ile, baada ya kumwambia 10k aliingia kwa wallet na kuchomoa 10k iliyochakaa huku akiacha vumbi tu kwenye wallet ile. Binti alimuangalia kijana yule kwa huruma sana kisha kumwambia, "Usiwaze Denis, acha tu ntalipa". Mimi na Denis bila kumsahau mchepuko wangu tulipigwa na butwaa, ila mimi nilipigwa na butwaa kubwa kuwazidi wote huku nikiutazama ule mchepuko na kutikisa kichwa mithili ya mganga wa Yoruba kumwelekezea mchepuko kumaanisha kuwa mchepuko wangu ni kichwa box tupu la mbao

Niliipokea ile hela ya binti kwa heshima kubwa na taazima huku nikisindikizwa na mizinga mizito kutoka moyoni huku nikitoa matamshi ya kumchoma mchepuko wangu. Sauti ya Denis iliyonena, " Acha tu mpenzi, nitalipa mwenyewe tu" ilitaradadi kwa huruma ya hali ya juu pasi na kusikilizwa

Nilibaki nikimtazama binti akiwa anaishiria kuelekea kusikojulikana huku nikimuomba Mola anijaalie binti kama huyo ili awe mke wa tatu, au anipatie huyo huyo kama ikiwezekana

Ndipo kumuaga mchepuko huyo na kurejea nyumbani. Muda huu nipo kwa mke mdogo, tayari nimekwisha oga, nasubiri kuichapa baada ya makala kwa runinga
Huo mchepuko bado unaendelea nao, haya kaka hongera.
 
Rudia hapo uliposema kibanda kipo karibu na saba saba. Sijaelewa vizuri
 
Mapenzi yana wenyewee, na wenyewee ndo sisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom