Hajui kama watu wengi tu wamezaa na majini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndivyo alivyokua anasema mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha mbele ya jini mkuu? Acha utaniNa usuperbug wako unapiga ukunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh
Ha ha ha ha ha ha ha mbele ya jini mkuu? Acha utani
kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako
Iki ugaya neani
Bora hata wewe umestuka mapema, mm nimnywaji wa pombe yani story yako zinaendana somehow na yangu..mpaka usingizi umekatika..nilikua kila nikikaa nae jionj nikitoka kibaruani naona mauza uza ya kishenzi..siku alipotaka tukalale tukapiga kinywaji akasema muda umeenda twende kwangu ulale asubuhi uamke uende kazini..aiseee! Pombe ilikata..nikakurupuka nikawa naanza kuvaa nguo..ardhi ya mule chumbani ikawa ina cheza cheza..inshort nilipotaka taa izimwe alinyoosha mguu na mpaka switch ilipo ni parefu kwenye kale kagiza nilimuona akibadilika uso mara sura hii mara ile nikawasha taa..alinibadilikia..nikalazimisha kuondoka kwani nilifika mbali sasa? Kitu cha fisi wawili wananifuata..giza totoro..milio ya wanyama..hapo ni mikocheni b dsm..ukiwa kijana una kipato na una muonekano flani ni shida sana..mungu akutangulie brother, natamani tuonane ! Hapa nahema nikiwaza nilivoteseka, kazi nikapoteza na aliniapia wakati namkataa nilimwambia sikuelewi..yani dahh nakuonea huruma..af hua wana access na simu wanajua unawasiliana na nani..
Ni gaya na ngoma ja hetu [emoji38][emoji38][emoji38]I
Iki ugaya neani
Hariiiikaaa kaicha laoka ikuji denga avae vaathu tuho vengiNre huvohuvo ithanga laoka ikuji
We shigha ambu twekinainge nguro ithanga ila nyama irela na mkota avaeNre huvohuvo ithanga laoka ikuji
Alikua wa kike au kiume mkuu...maana haya mambo ni hatariHivi
kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako
ombea yaSikukute Hii niliita mpaka Leo SHOO YA KIBABE DIRISHANI KWANGU
Vusha vuhambanyia aha iki wekidenga lineoka isharu kana niho wakutheja hena mbira mwenye?Hariiiikaaa kaicha laoka ikuji denga avae vaathu tuho vengi
Ha ha ha ha ha ha ha ha nakukunda avae ili libwange lihira uvivi mnooo twwthilikundaWe shigha ambu twekinainge nguro ithanga ila nyama irela na mkota avae
Sent using Jamii Forums mobile app
We shigha ambu twekinainge nguro ithanga ila nyama irela na mkota avae
Sent using Jamii Forums mobile app