Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Haya Mambo unatisha Sana nilikuwa na rafiki yangu mdada lilimtokea usiku akapewa maelekezo ya mafanikio yake na jinsi anatakiwa kufanya akajua ni ndoto lakini cha ajabu anakurupuka usingizini akachukua simu anipigie kunipa taarifa za ndoto yake akashangaa kuona screen saver ina picha ya mtu walokuwa wanaongea ndotoni almanusura afe akatupa cm chini ikafunguka betri ikatoka akarudishia akaikuta halafu ni mwanamke mwenzake,, nikamshauri asubuhi hiyo awahi kwa ustadhi kweli akafanikiwa kwenda kwa kusaidiwa na shangazi yake Basi akasomea kisomo cha maana likapotea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi
Uliaminije kuwa ni Jini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako

ombea yaSikukute Hii niliita mpaka Leo SHOO YA KIBABE DIRISHANI KWANGU
 
Jamani ayo ni majini dawa yake ni kuwa na Yesu
Bora hata wewe umestuka mapema, mm nimnywaji wa pombe yani story yako zinaendana somehow na yangu..mpaka usingizi umekatika..nilikua kila nikikaa nae jionj nikitoka kibaruani naona mauza uza ya kishenzi..siku alipotaka tukalale tukapiga kinywaji akasema muda umeenda twende kwangu ulale asubuhi uamke uende kazini..aiseee! Pombe ilikata..nikakurupuka nikawa naanza kuvaa nguo..ardhi ya mule chumbani ikawa ina cheza cheza..inshort nilipotaka taa izimwe alinyoosha mguu na mpaka switch ilipo ni parefu kwenye kale kagiza nilimuona akibadilika uso mara sura hii mara ile nikawasha taa..alinibadilikia..nikalazimisha kuondoka kwani nilifika mbali sasa? Kitu cha fisi wawili wananifuata..giza totoro..milio ya wanyama..hapo ni mikocheni b dsm..ukiwa kijana una kipato na una muonekano flani ni shida sana..mungu akutangulie brother, natamani tuonane ! Hapa nahema nikiwaza nilivoteseka, kazi nikapoteza na aliniapia wakati namkataa nilimwambia sikuelewi..yani dahh nakuonea huruma..af hua wana access na simu wanajua unawasiliana na nani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi

kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako

ombea yaSikukute Hii niliita mpaka Leo SHOO YA KIBABE DIRISHANI KWANGU
Alikua wa kike au kiume mkuu...maana haya mambo ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom