Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

atakuwa na yeye mchawi sasa
 
duuuh hivi hii dunia ina mambo makubwa hivi? pole sana mkuu hakika inatisha
 
Wenyewe wanadai ni huyohuyo mtoa mada kwa I'd nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tuliowahi kupitia hivi visanga tunamuelewa kabla hata hajamalizia kuandika,yaani unakuwa km amekugunga cctv kila unachoongea na kufanya anaona live halafu unatumiwa text za kukukata bit mda huo huo,basi unaangalia kulia na kushoto km utamuona then unakuwa mpole unasitisha mission unayofanya! Ha haaah lazma udate aisee ndo mana naona kuna watu na professions zao humu wanadhan ni mental disorder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha hebu nisimulie kidogo boss, ilikuwaje, mlikutana vipi na mkaachanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeifuatilia hii mada neno Kwa neno ikiwamo kusoma comments zote kama nilivyokuwa nikisoma vitabu vya Willy Gamba . Mwanzoni nilishawishika kuamini. Lakini mwishoni wanapojitokeza watu kuanza kusimulia habari za waganga wa kienyeji napatwa na kigugumizi kuendelea kuiamini hii habari. Sikatai kuwa haya mambo hayapo. Yapo. Ila mtoa mada anavyoileta haileti kama mtu anayehitaji msaada au ushauri, zaidi hii habari inakuja ikiwa imeachia mwanya mkubwa wa matapeli kutangaza biashara zao. Naomba nikuombe mtoa mada. Huyo mama akija tena jivike ujasiri Kisha mkazie macho katika macho yake. Kama ataona aibu na kukwepesha macho usiache. Jitahidi mpaka mtakapoangaliana macho Kwa macho kama sekunde kumi. Ikiwa atapepesa macho usihofu huyo atakuwa binadamu wa kawaida. Ila endapo hatapepesa macho (eye blinking) basi jua kuwa hapo unadeal na jini na nitafute inbox nikuelekeze hatua za kuchukua. NB. Msiohusika msinifuate inbox maana mimi sio mganga wala tapeli.
 
Ha haaa,nipo kwny final stages za kumkacha imechukua muda mrefu coz nilizaa nae,nikikamilisha ntakumegea full story! Yaani issue km hii ukiiandikia script ukatoa movie watu wataichukulia km fiction tu ila...
Haha hebu nisimulie kidogo boss, ilikuwaje, mlikutana vipi na mkaachanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni Kweli weka namba ya huyo jini hapa,. Nataka niongee nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…