Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Yes hata me hapo kwny kutatua hili kwa uganga ambalo nadhani Super Handsome amelizungumzia pamenipa utata,hizi issue mganga hana jeuri nazo anaweza tu kukupumbaza ukija kushtuka umepoteza almost everything,sn mganga atakupiga hela tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna mijitu inani husisha mm na ID ya mtoa mada wakati ID hii ina zaidi ya miaka 5 humu, .
 
Sijazungumzia mganga, nimezungumzia ustaadh, after all siwezi mtaja wala mpekeka mtu, kila mtu apambane tu na hali yake buddah!
 
Mkuu niweke Sawa mnaishije mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah maisha mwanzoni yalikuwa km kawaida tu lkn baadae nikaanza kuporomoka kiuchumi,nikayumba sn then unabanwa kila kona unakosa kibali kwa kila mtu si ndugu,jamaa wala rafiki. Unakosa wa kukusapot then anakuchonganisha nao wote unabaki km bundi yaani ni balaa mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna jini hapa, naona marelia imekupanda tu. jini anatuma tigopesa. huyo wa jini wa bongo movie

izo nguo za mtumba unauza zilizo fuliwa na kunyooshwa, vp ulipo ziweka kwa siku 2 kwenye mfuko hazikujikunja (hadi zionekne ndo zinafaa kuliko nguo nyingine)
 
Sasa huo ushauri kwanini usiutoe hapa hadharani kama unavyo jitanabaisha? Mpaka ufatwe Pm? Unaficha nn??
 
Sijazungumzia mganga, nimezungumzia ustaadh, after all siwezi mtaja wala mpekeka mtu, kila mtu apambane tu na hali yake buddah!
Nimekuelewa,sina maana we ni mpigaji ila nnacho maanisha ni kuwa ujikague vzr km wamekutatulia hili tatizo permanently,in the near future unaweza jikuta kwny utata coz hawa watu hawaendagi just kwa mtu yeyote wakija kwako ujue kuna something special unacho wanakiwinda so usipokubaliana nao na usiwe na ulinzi watakuangamiza kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% correct, nilifukuzwa kazi, gari yangu ikawaka moto nikiwa kwenye foleni, nilifilisika nikakosa hata mia wala kiatu cha kuvaa, hakuna rafiki, ndugu wala mwanafamilia aliyetaka.kuniona..nikawa nafikiria nisafiri niende mbaalii nisipo pajua (Technically kumbe mawazo ya kujiua).. Hawa viumbe washenzi sana wakiamua kukukomesha.
 
Sasa mtoa mada si uendelee au maana yako ni nini kutoa habar na kukaa kimya
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…