Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Unakuwa muoga sana

Binafsi hii makitu ilinikuta nikiwa mdogo sana
Ila kitu kilichonisaidia ni kupuuzia
Na vikaja kuondoka vyenyewe

Weka mambo hadharani
Songa mbele na maisha yako
Wanasemaga mwenye shibe hamjui wa njaa kakuambia anakiapo na tayali kuna adhabu hua anapata bado apuuze tu?
 
na dakika ulihesabu?

kitochi
 
hahaaaaa majini wa bongo movie wamenishinda tabia wallahi
 
Uyo boda boda lazima atakua niwa dar...kwa Wanaume wa mikoani lazma uyo jini angesahau adi nguo yake ya ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana DAMU ya YESU ndiyo itakuponya shika hapo hapo ,kuna Baba alikaa nalo miaka 7 na alikuwa na kilichofuata hakuwahi kugegeda na mkewe 7yrs hakuwa na nguvu kwa mkewe ila kwa jini na alimpangishia chumba hotel mpaka mkewe alipoamua kwenda kanisani ndiyo mmewe akapona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…