Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Bwana wewe jini ni jini tu hakuna cha jini mbaya wala jini mzuri, sasa huyu anayetumia mamlaka yake ya giza kulazimisha mahusiano ndio utasema mzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa sister. Ila huyo jini angekumbana na vinjemba vya mkoani mbona angesahau hata jina lake (natania jamani msije mkampasia huku)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa naijua I'd yake ningemtag

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaa....! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Anafahamu kazi ya huku mkoani sister,ukimtag anakugezia kibao unamsakizia kwenye kifo. Njemba zinapiga mpini huku sister usiambiwe,inakesha inapiga kazi iko ndani tu. Njemba huku haziangalii hii njitu imekuja ktk mtindo gani? Kwanza zenyewe unafikiri zingefuatilia kujua ametokea wapi? Sijui ananukia nini? Sijui mwarabu,mchina. Zenyewe zingejua tu amekuja anga zao ni mashine tu (just joking)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 WAFALME 2:19-22

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss wangu yale yalikuwa ni maji, yaani ni kama leo hii maji ya chumvi ukayawekea dawa. Kingine Elisha alikuwa ni nabii na alifanya vile Mungu alivyomfunulia hakusema ndio formula, mbona ukitenda dhambi leo hauchinji ng'ombe wala kutoa unga sijui madhabahuni ili utakaswe? Au unataka kuniambia leo hii mtu mwenye ukoma akienda Yordan anatakasika? Hapana ni kwa sababu ilikuwa ni kwaajili ya Naaman peke yake. Ukisoma hilo neno Elisha hajasema mkipata tatizo hili tena wekeni chumvi na maji yenu yatapona lakini Yesu alipokuwa anafanya miujiza alikuwa anawaambia wanafunzi wake kwamba hata wao wanaweza kufanya na zaidi ya hayo... Huenda kesho wangefanya jambo lile lile kwa tatizo lile lile kisingetokea kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jambo linaloshindikana kwake yeye pekee ndiye muweza Mungu muumbaji,piga goti omba kwa dhati ya moyo wako nae atasikia.
 
Hahaha loh mtakuja kufwaa kujifanya wazee wa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…