Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ukiona mtu anapinga hakuna uchawi sijui majini, kuwa makini naye anakuwa naye mchawi anaogopa siri zao zina bumburukaYes unfortunately sina hata mzuka wa kuanzisha uzi and quite sure nikiyaweka yote humu ndani ipo mijitu itadhani chai' ndo ivo mzee! Hows chuga?
Sent using Jamii Forums mobile app