Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

mtiririko wa story yako.ni well arranged,ila umekuja kuharibu hapo pa kutaka michango tu...hahahahaaaa umefanya nianze kutokukuamini ingawa mambo haya yapo na mimi mwenyewe ni shuhuda kwa mtoto wa shangazi yangu...long story but alipona kwa maombi ya nguvu bila kuomba mchango wa pesa kwa mtu yoyote yule
 
wapi uko mkuu?
 
Dereva wa baba yangu alifanyiwa maombi mwaka Mzima kila kona unayoijua wewe, mwisho wa siku kaaga dunia. Alikuwa dereva kwa miaka 8 lakini alikuwa kama ndugu kwakweli, nikirudi kwako mkuu. Duka unalo kwanini usimuweke ndugu yako dukani? Halafu ukalifanyia maombi hilo duka lako pia. Mtu chake kwanini usiuze hio gari yako na kukusaidia kwa sasa, huoni aibu kuomba? Unasema watu wamekutapeli kwa kuona matatizo yako fursa ya kufanya utapeli. Kwanini na sisi tusihisi kama umetumia stori yako kuja kututapeli?


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
January mbaya sana hiii daadeki wakikuchangia niambie shubaamiti.
Wenye moyo na ubinadamu wanajua shida nini...Mungu ambariki Alphonce kwa alichotoa sio haba, Tsh2000/= naamini sio kwamba alikuwa nacho sana ila lahasha ila anajua dunia duara. Pindi tu nilipoandika uzi wa kuomba mchango yy ndio amekuwa wa kwanza. Mungu akubariki sana Alphonce

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu tujipige pige huyu mwenzetu apate msaada wa chakula na maji kwaajili ya timu ya maombi.
Najitolea katoni za maji, mwenye unga, mchele na mafuta pia si vibaya tukimsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo timu ya maombi ipo kanisa gani?? Au lenu moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lolote linawezekana kwa yule kiumbe
 
It means alikuja kutafta Kiki hafu kilicho ni shangaza gudume kasema hao watu matapeli atakuja ajifanye Kuna member kamchangia kiasi flani na kumsifia. Na huyu mleta mada kasema Kuna mtu kashamchangia hii ni coincidence or what
Alileta Uzi wake wa kukandia wadada akaona amepata shavu sasa kaja na utabiri feki ili wazidi kumwamini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…