Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Yaani story umeanza jumatano Leo jumapili unasema maombi yamefanya usife kwa ushauri wa WanaJf . halafu hutaki kutaja ulipopata msaada wengine wenye shida na Wao wapone mmhhh hapa kuna kupigwa.
sorry kuna mahali nime ku quote kuhusu kuomba mchango sasa nakuja huku nakutana na hili mh! sikuwa nimesoma hii watu wajanja sana
 
Hamna kitu hiyo I'd ni ya mtunzi huyo huyo.
Angalia vyote alivyoandika ndiyo vinajitokeza kwenye huu uzi.
Kwani ni nani alijua huyu ataomba hela? Kwanini yeye atabiri halafu kabla ya dkk 5 uje Uzi kweli anaomba hela? Kama siyo anajitengenezea mazingira ya kuonekana nabii[emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nipo nilipomshtukia hyo kitu yake na huyo poker anajifanya eti kapewa mchango. JF napo Kuna Kiki sikuhizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui kwa nini nahisi huu ni mchezo wa mtu mmoja mwenye ID mbili.
Ila vile sipendagi ugomvi ila huyu ni yule yule mwenye thread ya kule.


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu ishia hapo hapo mkuu, maana yule jamaa akikuona...... atakurushia makombora mazito zaidi ya yale ya kule kwa Kim
 
We jamaa wewee wewe Ni Gudume eeeeeh.Naanza kua na wasiwasi na aisee, maana nae alikua na mwandiko nzuri Sana.
 
Hamna mtu anaweza shindana maneno na mtoto wa kike na akashinda.[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1][emoji126][emoji126][emoji126]
Nimekoma .
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu ishia hapo hapo mkuu, maana yule jamaa akikuona...... atakurushia makombora mazito zaidi ya yale ya kule kwa Kim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeharibu mwishoni mzee....

Ungeyakamata majinga..ila ulivyokuja hivi nao ushawapoteza.
 
Alileta Uzi wake wa kukandia wadada akaona amepata shavu sasa kaja na utabiri feki ili wazidi kumwamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi ilikuwa lazima awapate watu maana tunapenda umbea humu ndani acha kabisa haswa wanaume wa jf
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Haki umbea ungekuwa viwanda watz tungekuwa mbali sana.
 
Kumbe nawe machale yamekucheza eeeh!!
Yaani kama kajisema vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana huwa nasoma tu story huku na kuchangia kwa kuandika ila kuingia kwenye m-pesa au tigo pesa yangu na kumtumia mtu hela ambaye simjui na wala sina details za kujitosheleza aiseee kama ni motoni acha niende tu ila huu niuoano hapa ni utapeli wa wazi whether mapovu yatatoka au la but ukweli utasimama huu ni utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yashakuw amengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…