Hapana brother sina uhusiano wowote na mtoa mada, kiasi fulani nina mashaka na uhitaji wake wa msaada na ndiyo maana nikajitolea katoni za maji badala ya pesa ili nione uhitaji wake.Naona unajitekenya kwa id nyingine.
Swali la kujiuliza huyu hana jamaa? Hana rafiki wa kumpa mkopo? Kwanini asiazime hela benki na kuweka gari yake kama amana? Huu utapeli upo hata kwenye maisha ya kawaida nimeyaona haya mambo kwenye familia pia. Utamkuta jamaa anakupigia simu ana shida ukishamtumia hela anapost kapicha WhatsApp anakula bata ufukweni chini ya wiki. Hubaki kujiuliza huyu si aliniomba hela kuwa ana shida sasa inakuwaje anakula bata?.Yaan badala aende kwenye maombi akaanza kukimbizana na matapeli na aliweka wazi ni mkristo anamwamini mungu, gafla pesa zimekwisha kabla hata mwezi haujaisha anaomba msaada
Usisahau kuendelea hapo chini mkuu ah ah ah ahSwali la kujiuliza huyu hana jamaa? Hana rafiki wa kumpa mkopo? Kwanini asiazime hela benki na kuweka gari yake kama amana? Huu utapeli upo hata kwenye maisha ya kawaida nimeyaona haya mambo kwenye familia pia. Utamkuta jamaa anakupigia simu ana shida ukishamtumia hela anapost kapicha WhatsApp anakula bata ufukweni chini ya wiki. Hubaki kujiuliza huyu si aliniomba hela kuwa ana shida sasa inakuwaje anakula bata?.
Ndukiiiii [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
Hahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie mwenyewe najipanga kuleta uzi wa kuomba msaada Sina hata ya dinner leo
Sina mahusiano yeyote na mtoa mada mkuu, nisome vizuri utanielewa nimejitolea katoni za maji na si pesa kwakuhisi mtoa mada anaweza akawa tapeli kwa kutaka pesa na si chakula na maji kama alivyoainisha.Hiyo timu ya maombi ipo kanisa gani?? Au lenu moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ahahahahaaaaaaa, oterioMkuu isuje ikawa kama kijana Emma na oterio wa forex
Brother utanipa mimi hizo catons nipeleke, nasubiri aniambie alipo naona kimya while yuko onlineHapana brother sina uhusiano wowote na mtoa mada, kiasi fulani nina mashaka na uhitaji wake wa msaada na ndiyo maana nikajitolea katoni za maji badala ya pesa ili nione uhitaji wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aweke no za simu basiMuda wakuandika hapa unaupata wapi angali uko kwenye maombi na hiyo pesa ya MB si zikusaidie kwenye shida mbalimbali ulizo nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dogo wa kigoma niliposoma ile part ya kusifiwa ubo...o na mwanaume wa dar. Kama umepitia somo la kumsoma binaadamu na kodi za maneno pale nilimshtukia. Amefanya vile ili kuwateka watu kuwa na hamu ya kuujua mwisho wake. Halafu kuna mtu alimwabia kama upo posta kuna watu watakufata nimekutumia hela mmhh nikajiuliza tena pale. Binafsi nazijua sehemu za voda pesa lakini sina namba zao baada ya huduma nasepa. Halafu alieomba msaada anatuhumu alie msaidi kuwa msaada wake ana wasiwasi nao?? Mmhh