Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Yaan badala aende kwenye maombi akaanza kukimbizana na matapeli na aliweka wazi ni mkristo anamwamini mungu, gafla pesa zimekwisha kabla hata mwezi haujaisha anaomba msaada
Swali la kujiuliza huyu hana jamaa? Hana rafiki wa kumpa mkopo? Kwanini asiazime hela benki na kuweka gari yake kama amana? Huu utapeli upo hata kwenye maisha ya kawaida nimeyaona haya mambo kwenye familia pia. Utamkuta jamaa anakupigia simu ana shida ukishamtumia hela anapost kapicha WhatsApp anakula bata ufukweni chini ya wiki. Hubaki kujiuliza huyu si aliniomba hela kuwa ana shida sasa inakuwaje anakula bata?.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Usisahau kuendelea hapo chini mkuu ah ah ah ah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo timu ya maombi ipo kanisa gani?? Au lenu moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina mahusiano yeyote na mtoa mada mkuu, nisome vizuri utanielewa nimejitolea katoni za maji na si pesa kwakuhisi mtoa mada anaweza akawa tapeli kwa kutaka pesa na si chakula na maji kama alivyoainisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana brother sina uhusiano wowote na mtoa mada, kiasi fulani nina mashaka na uhitaji wake wa msaada na ndiyo maana nikajitolea katoni za maji badala ya pesa ili nione uhitaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother utanipa mimi hizo catons nipeleke, nasubiri aniambie alipo naona kimya while yuko online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me ntaendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dogo wa kigoma niliposoma ile part ya kusifiwa ubo...o na mwanaume wa dar. Kama umepitia somo la kumsoma binaadamu na kodi za maneno pale nilimshtukia. Amefanya vile ili kuwateka watu kuwa na hamu ya kuujua mwisho wake. Halafu kuna mtu alimwabia kama upo posta kuna watu watakufata nimekutumia hela mmhh nikajiuliza tena pale. Binafsi nazijua sehemu za voda pesa lakini sina namba zao baada ya huduma nasepa. Halafu alieomba msaada anatuhumu alie msaidi kuwa msaada wake ana wasiwasi nao?? Mmhh

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom