Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Yule dogo wa kigoma niliposoma ile part ya kusifiwa ubo...o na mwanaume wa dar. Kama umepitia somo la kumsoma binaadamu na kodi za maneno pale nilimshtukia. Amefanya vile ili kuwateka watu kuwa na hamu ya kuujua mwisho wake. Halafu kuna mtu alimwabia kama upo posta kuna watu watakufata nimekutumia hela mmhh nikajiuliza tena pale. Binafsi nazijua sehemu za voda pesa lakini sina namba zao baada ya huduma nasepa. Halafu alieomba msaada anatuhumu alie msaidi kuwa msaada wake ana wasiwasi nao?? Mmhh


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Me ile writing code tu nikajua hapa ni drama.....alichanganyikiwa alipoona watu wameweza kutrace location pale ndo ikawa ishuùu




Nitaendelea hapo chini asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom