Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Tiss uyo anafanya kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna Mtu Wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado unalilia hela tu mzee[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitumie no yako pm nikusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni attention seeker syndrome kama kweli ni multiple IDs[emoji12]
Nimeshangaa kukutana na lawama za kutafuta kiki na utapeli juu....

Mkuu kama unataka kuwa-prove watu wrong sema ulipo walioguswa wakuletee misaada na kushiriki hayo maombi

Unaogopa kwa sababu za kiusalama zipii?? Na kama unataka yawe siri iweje uyalete JF?? Kwa sababu kama ni huyo jini angetaka kukudhuru angeshafanya hivyo muda mrefu...

Duka halijaisha umefunga, gari bado unalo kwa nini usiuze??? Toa ushirikiano na weka majibu mezani ili wadau wakuamini otherwise naona uzi ushachafuka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikujibu mkuu usisahau kuntag maana huyo jamaa kanjanja hajibu hoja za muhimu zaidi ya kutupa lawama tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana AMINI KATIKA MUNGU ausikute uliwai kwenda kwa waganga kujiimarisha wenyewe mnasema Mvuto!Kama uliwai kwenda kwa mtaalam kuusu maisha ya kaz yako basi hayo ndio matokeo yapokee ila Kama Uyataki KEMEA KWA JINA LA YESU Wa nazareti Utapokea uponyaji


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona umetupa chai ukamaliza na kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…