Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni



Kuna vitu pia vinatia mashaka, kwa mfano kwanini hutaki kutaja maombi yanapofanyika? je hujui kama mtu mwingine akifika pale hata kama hakuwa na nia ya kukusaidia mazingira yanaweza kumfanya akupe msaada? umekatisha story kwa madai ya kukatazwa kwa usalama wako tumekubali je kuficha unapofanyiwa maombi pia ni kwaajili ya usalama wako au huyo jini yupo humu jf so unafanya siri asijue (na kama ni kwasababu ya jini sijui kama una uwezo wa kumficha asijue unachokifanya na kinapofanyika) watu wana kila sababu ya kuhoji ili kujiridhisha kuna ukweli kiasi gani hasa ukizingatia wengi wao hawajawahi kukuona hata mara moja sembuse kukujua, kumbuka hata ,matapeli pia huwa wanakuja hivyo hivyo na story zao nyingi ukijichanganya tu imekula kwako so kama kweli unahitaji msaada pia unahitaji kutoa ushirikiano wa kutosha halafu kumbuka msaada sio fedha tu, kama mtu hana fedha ila kilo 20 za mchele hawezi kuzituma kwenye simu ka pesa itabidi akuletee sasa atakuletea wap kama ulipo tu napo ni siri????
 
Duhhhh pole sana Kiongozi hapo hali unayopitia unaweza fikiri ni story ya kusadikika kumbe ni kweli.


Vipi kwenye nyumba za ibada hauwezi kufika au ndugu zako wote umewashirikisha.
 
Duhhhh pole sana Kiongozi hapo hali unayopitia unaweza fikiri ni story ya kusadikika kumbe ni kweli.


Vipi kwenye nyumba za ibada hauwezi kufika au ndugu zako wote umewashirikisha.
Asante kaka, naendelea na huduma ya maombezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…