dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wa gudume umeunganishwa hapa au?Mods wameuharibu kuunganisha huyu gududu anatakiwa awe sample size kwa wazalilishaji humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu wanajamvi, nimekuwa nikisoma comment zenu moja baada ya nyingine nilichogundua ni kitu kimoja, mliowengi humu hamna uhuru wa fikra, wengi mnatumia fikra za watu wengine kufanya maamuzi (si kwa ubaya).
Najitahidi kutumia hekima Sana katika Jambo hili maana naamini kabisa, hili ni tatizo langu lisije kuwa sababu za kuvuruga wengine. Naamini kabisa wapo wachache wenye mawazo mbadala ila inakuwa vigumu kuwasilisha hoja na hisia zao kwa sababu, hoja iliyoshika hatamu ni UTAPELI. Inawezekana kabisa mtiriko wangu wa thread unaonekana wa kitapeli au unafanana na thread's za watu waliowahi kufanya utapeli humu.
Swali je, nimekuja specifically kwa mtu kuomba msaada? Je kuna sehemu nimeonesha lawama juu ya kutokusaidiwa, ndugu zangu ni vile nipo kwenye matatizo tapeli hanyenyekei ila anashawishi ili kushika hisia zako.
Fatilieni uzi wangu vizur kama kuna sehemu nimezungumza kuwa maduka yangu yapo kariakoo? Au kuna sehemu nimesema wanamaombi wanafanyia maombi nyumbani kwangu! Ni vibaya sana kuchangia kitu kwa kufwata (Mzuka) au mihemko. Unatakiwa kuwaza kwa mujibu wa utashi wako uliobarikiwa na Mungu.
Ni nani aliwah kukwambia kisemwacho na wengi ndio sahihi? Jifunze kutoka katika huo mtazamo, maana utakosa mengi dunia ya Leo, sijasema kila kisemwacho na wengi ni batili lahasha ila unatakiwa kuwaza kwa akili zako nje ya box. Huyo mnaemuona kila asemacho ni sahihi..kwa tafsiri ya kawaida tu, yy ndio mwenye upeo mkubwa wa kufikir mambo kwa haraka kuliko Mw ngine, Je ni kweli? Jibu unalo, sasa hv anasheherekea kwa alichoplane kimefanikiwa. Mmemuona akichangia chochote tangu uzi huu uanze? Mnajua alikuwa anafiiria Nini? ( Ana hofu mm sijaja kufanya kazi anayoifanya yy humu). Wenye kuwaza vizuri, wamejua nazungumzia Nini. Ipo siku mtanishuhudia hili akiweza kuteka akili za watu wengi kwa kiwango anachokitarajia, basi yy ndie atakuwa Tapeli mkubwa kabisa kuwahi kutokea nchi hii. Maana akiamua kuanzisha jambo anajua 75% ya waliomo humu watamuunga mkono. Nashukuru kwa Michango kwa wale walioguswa, hata kwa wale walionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki Sana , muda ufika nitaweka kila kitu bayana hapa jukwaani. Niwatakie usiku mwema. Msichoke kuniombea wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliomba screenshot ya SMS za jini hatukupewa huyo jinn anatumia line ipi? Ttcl au ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wacha tuendelee kuamini iko hivyo
Ila wewe@Hornet unazingua sana, kama hutaki kuchangia si ukae kimya, unamuandama sana huyu ndugu, kwani ni vita? ?
Kwani unateseka?
Naona unakomaa as if jamaa alikutapeli.
Kwikwikwi[emoji14]nimegundua ili upate jf comment 1000+ wewe wape chai, narudia hiyo chai isiwe na sukari ya kutosha ili ziwahi kufika cheki kama huyu jamaa katupiga chai wee mwisho wa siku anataka kutulipisha kwa kunywa chai yake isiyo na sukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka, naendelea na huduma ya maombezi.Duhhhh pole sana Kiongozi hapo hali unayopitia unaweza fikiri ni story ya kusadikika kumbe ni kweli.
Vipi kwenye nyumba za ibada hauwezi kufika au ndugu zako wote umewashirikisha.