Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Hapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.
Kwenye mambo ya giza ni vigumu kueleweka Labda kama unao Waadithia Waliwahi Kukutana nayo. Hata mm nilikuwa naona ni Kama Hadithi za Abunuasi mpaka yaliponikuta.
 
Ahsante sana kwa kunijali rafiki[emoji120] Kwa Kupitia hayo hayo maombi nimeponea kwenye mdomo wa simba. Haikuwa kazi ndogo, Nitakuja nieleze hapa ilivyokuwa.
Lini??
 
Mi kuna demu mmoja huwa namuota namgegeda mara kwa mara japo siyo mara nyingi lakin sura yake imekua ikijirudia kwenye ndoto kwa siku tofaut tofaut nikimgegeda..
Kinacho nipa hofu hata nikipenda demu mwngine wa mtaani nikimtongoza akinikubalia baada ya hapo nakua naanza kumchukia bila sababu, sitaman kuonana nae hata mawasiliano nae akinitafuta naweza nispokee simu bila sababu.

Yani kwa kifupi napata bahat ya mademu wanao nipenda Sana ila nikiwa kweny mahusiano nakua na hofu na Sina raha kabisaa had niachane nae ndo napata amani.. Kuna mtu nilimshirikisha akaniambia kuwa Hilo ni jini
 
Mbona hii ishu hata mimi inanitokeaga ila ndoto siotagi, tuseme kwenye kuwa na demu nakuwa sina time naye na kukosa amani ila hadi tuachane ndio naona kawaida, hii sijui ikoje yani sujui nachezewaga?
 
Willy Gamba ana vitabu vya design gani? Naomba nitumie.
 
Kuna vitu vingi sana Vinakupita
Ilikuwaje mkuu me nimeipenda story yako eti[emoji7][emoji7] it's very sweet... japo toka mwaka 2019 leo ndo nimeisoma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The same to me mkuu,
 
Sitishiki kwa mambo ya kufikirika mimi.

Uchawi haupo. Majini hayapo.

Ila ugonjwa wa akili upo. Na moja ya dalili zake ni mtu kuamini karogwa au katupiwa jini.
Kwa taarifa yako, wewe ndio mchawi. Mnajifanya(ga) hamuamini ili kuwapoteza watu maboya wasijue siri zenu.
 
Hivi hii iliishaje? Au ni zile za Shigogo?
 
Hivii mna taka nini nyie watu?? Mbususu ya bureeeee!! unapewa tena kamdada kazuri ka kiarabu!! mwee si mfanyane tu!! kuna faida
anakulinda na wadad walafi!!
anazuia chuma ulete!!
anakupa hela kazi!!
mnakaa kulialia tyuuuu!!!
hupati ukimwi
asa hamuoni mna bahati mbwa nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…