Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Hapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.Eleza Kaka utatufunza vingi[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.Eleza Kaka utatufunza vingi[emoji848]
Kwenye mambo ya giza ni vigumu kueleweka Labda kama unao Waadithia Waliwahi Kukutana nayo. Hata mm nilikuwa naona ni Kama Hadithi za Abunuasi mpaka yaliponikuta.Hapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.
Lini??Ahsante sana kwa kunijali rafiki[emoji120] Kwa Kupitia hayo hayo maombi nimeponea kwenye mdomo wa simba. Haikuwa kazi ndogo, Nitakuja nieleze hapa ilivyokuwa.
Mbona hii ishu hata mimi inanitokeaga ila ndoto siotagi, tuseme kwenye kuwa na demu nakuwa sina time naye na kukosa amani ila hadi tuachane ndio naona kawaida, hii sijui ikoje yani sujui nachezewaga?Mi kuna demu mmoja huwa namuota namgegeda mara kwa mara japo siyo mara nyingi lakin sura yake imekua ikijirudia kwenye ndoto kwa siku tofaut tofaut nikimgegeda..
Kinacho nipa hofu hata nikipenda demu mwngine wa mtaani nikimtongoza akinikubalia baada ya hapo nakua naanza kumchukia bila sababu, sitaman kuonana nae hata mawasiliano nae akinitafuta naweza nispokee simu bila sababu.
Yani kwa kifupi napata bahat ya mademu wanao nipenda Sana ila nikiwa kweny mahusiano nakua na hofu na Sina raha kabisaa had niachane nae ndo napata amani.. Kuna mtu nilimshirikisha akaniambia kuwa Hilo ni jini
Willy Gamba ana vitabu vya design gani? Naomba nitumie.Nimeifuatilia hii mada neno Kwa neno ikiwamo kusoma comments zote kama nilivyokuwa nikisoma vitabu vya Willy Gamba . Mwanzoni nilishawishika kuamini. Lakini mwishoni wanapojitokeza watu kuanza kusimulia habari za waganga wa kienyeji napatwa na kigugumizi kuendelea kuiamini hii habari. Sikatai kuwa haya mambo hayapo. Yapo. Ila mtoa mada anavyoileta haileti kama mtu anayehitaji msaada au ushauri, zaidi hii habari inakuja ikiwa imeachia mwanya mkubwa wa matapeli kutangaza biashara zao. Naomba nikuombe mtoa mada. Huyo mama akija tena jivike ujasiri Kisha mkazie macho katika macho yake. Kama ataona aibu na kukwepesha macho usiache. Jitahidi mpaka mtakapoangaliana macho Kwa macho kama sekunde kumi. Ikiwa atapepesa macho usihofu huyo atakuwa binadamu wa kawaida. Ila endapo hatapepesa macho (eye blinking) basi jua kuwa hapo unadeal na jini na nitafute inbox nikuelekeze hatua za kuchukua. NB. Msiohusika msinifuate inbox maana mimi sio mganga wala tapeli.
Ilikuwaje mkuu me nimeipenda story yako eti[emoji7][emoji7] it's very sweet... japo toka mwaka 2019 leo ndo nimeisoma[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vitu vingi sana Vinakupita
The same to me mkuu,Mi kuna demu mmoja huwa namuota namgegeda mara kwa mara japo siyo mara nyingi lakin sura yake imekua ikijirudia kwenye ndoto kwa siku tofaut tofaut nikimgegeda..
Kinacho nipa hofu hata nikipenda demu mwngine wa mtaani nikimtongoza akinikubalia baada ya hapo nakua naanza kumchukia bila sababu, sitaman kuonana nae hata mawasiliano nae akinitafuta naweza nispokee simu bila sababu.
Yani kwa kifupi napata bahat ya mademu wanao nipenda Sana ila nikiwa kweny mahusiano nakua na hofu na Sina raha kabisaa had niachane nae ndo napata amani.. Kuna mtu nilimshirikisha akaniambia kuwa Hilo ni jini
Kwa taarifa yako, wewe ndio mchawi. Mnajifanya(ga) hamuamini ili kuwapoteza watu maboya wasijue siri zenu.Sitishiki kwa mambo ya kufikirika mimi.
Uchawi haupo. Majini hayapo.
Ila ugonjwa wa akili upo. Na moja ya dalili zake ni mtu kuamini karogwa au katupiwa jini.
Hivi hii iliishaje? Au ni zile za Shigogo?Umenikumbusha niliwahi vagaa mrembo kariakoo kitimtimu kwenye kulala baada ya wiki..nikataka kuzima taa nilichokiona sitokaa nisahau mpaka nakufa..haya mambo yapo jamani..omba sana mungu, naona dalili za kufilisika kwako' be very careful..mm huyo msichana hata sijui ilikuaje ila nilikutanishwa na mtu ambae akataka kunitambulisha kwa huyo bi dada mwenye maduka kariakoo..ili tufanye joint venture..nimeteseka mnooo kuanzia 2016..ipo siku ntakuja na mkasa wake, ila naona downfall yako..si mtu mzuri huyo!