Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Malizia kabisa, unaweza usirudi moja kwa moja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila mleta uzi huu ni very critical thinker,, akisema itaendelea ujue anendelea kutunga story ili iwe na episode za kutosha, changamoto tunayo ipata wabongo ni technology kuwa duni katika uzalishaji wa movies zenye episode nyingi kama hii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iliwahi kunitokea saa nane usiku nimelala usingizi mzito Pazia la dirisha sikulishusha ila vioo Nimefunga sasa nikazinduka ghafla usiku nikakuta jamaa ananiangalia kwa utulivu na hata alipojua nimemuona hakuondoka nilipopiga kelele hakuondoka nikaduwaa siamini baada ya dk tatu akaondoka mwenyewe
Sipati picha aina ya kelle ulizopiga na kunyamaza ghafla ha ha haaa
 
Kuna jini mahaba la kike (I guess) lilikuwa linapenda kunifuata ndotoni (usiku nikiwa nimelala) ili niligegede, siku moja nililiomba tigo huko huko ndotoni, mwaka wa pili huu, sijaliona tena mpaka leo Mzigua90
Daaadek
 
Back
Top Bottom