Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Hahah my mum thought nina celebral malaria, ila nae alichokishuhudia ilibidi aombe likizo tutafute suluhu kwa masheikh maana ni wale wa mama kidigitali haamini kabisaa..na kwa shehe nikaambiwa ningecheleweshwa ninge danja..kosa nililofanya usiku ule nilimkiss aisee nilikuja tapika vitu vinachemka moshi..nikaambiwa endapo ningekua na janaba (ndio ilikua mara yangu ya kwanza kusikia hilo neno) kwamba ningekufa usiku ule..
Kudanja kwasababu ya ile hofu au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kushirikishwa kesi moja jamaa alimuita mshenga wake kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke mwingine kabla ya aliyekuwa nae sasa anamsumbua kisa amemuacha anaona mwingine.

Visa tu anaemfanyia mwanamke mwenzake ambae ameolewa vya kimazingara,

Siku ambayo nimeshirikishwa nikiwa kama Rafiki wa jamaa alikuwepo mzee mwingine akasema kama mmefanya maombi na anawasumbua kuna mtaalamu Morogoro uende atakusaidia.

Ilikuja msg kwa kila mtu pale tulikuwa wanne kwamba mnajisumbua tu hamtafanikiwa. Wakati mimi huyo mwanamke simjui namsikia tu.

Haya mambo yapo na yakikukuta ndio unaamini tofauti na hapo huwezi kutambua na hivi navyoongea hiyo ndio haipo na jamaa ameyumba hata kazi hana wakati alikuwa vizuri sana na aligoma kwenda kwa huyo aliheshauliwa lkn kanisa lilishindwa kushauri mahakama ikaamuru wagawane mali walizopata.
Ingekuwa huyo jini ana uwezo wa kuingikia mawasiliano ya kupitia teknonoljia ya kisasa kama simu basi angekuja kumtisha jamaa hata hapa kweye JF, wote tinaosoma uzi tungetumiwa ujumbe sijui PM kwamba wewe fulani na wote kwenye jukwaa la JF minajisumbua. Ingekuwa kama mlivyotishwa kwenye simu ktk kisa cha huyo jamaa yako.

Tena jini libgetutaja kwa majina yetu halisi kuonesha linajua kola kitu hatuwezi kilikwepa.
 
Kuna watu mnachukulia haya mambo Kimasihara na utani, juzi nilikuwa Morogoro kuna binti yuko 20 yrs namfahamu ingawa si kwa undani sana, basi nikawa nimemwomba nimtoe jioni akale ice cream pale kwenye jengo la Nssf. Tumekaa pale tunabadilishana mawiki matatu, katika stori zetu ikafikia mahali akanisimulia mambo makubwa yaliyopata kumtokea. Kiufupi alikuwa ana jini ambalo lilipelekea hata kuanza kumbadili hata mwonekano wake hasa sura alinionesha hadi picha ambazo alipiga akiwa na mwonekano tofauti, nilikataa kuwa sie yeye, maana sura tofauti kabisa, mrembo balaa. Picha zingine kapiga na nduguze yeye sura inaonekana kiza tupu ila ndugu zake wanaonekana vizuri. Sasa anasema anaendelea na tiba kwa kutumia mashehe na anasema amepona kwa kiasi kikubwa.

Kwa kweli hata kukaa nae ilinitisha mana alisimulia mambo mengi yakutisha ikiwa pamoja na kupenda kujikwaruza na kitu chenye ncha kali kwenye mwili ili damu itoke!!!
Kwanini hukumwambia akiachie 1 billion ndo asepe? Au alikupa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu wadau. Naomba mnisaidie maana nipo njia panda sielew nifanye Nini.
Waswahili wanasema mficha maradhi Kifo humuumbua.
Mimi sitaki kusubiri Kifo kinikute. Ileweke nimekuwa humu JF kwa muda mrefu, Mara nyingi nimekuwa msomaji tu, wa matukio ya watu, pamoja na kujielimisha, Mara chache sana nimekuwa nikichangia mijadala pale inapobidi. Hii ndio thread yangu ya kwanza. Hivyo sijaandika kwa ajili ya kuburudisha/kumtisha mtu, ninachokiwasilisha hapa Ni ukweli mtupu. Lengo na madhumuni Ni kupata ushauri na msaada pale inapobidi.

***** ****** ******** ******** ******
Iko hv, Mimi Ni mfanya biashara mdogo ninaejishughulisha na uuzaji wa nguo za kiume katika sehemu Fulani hv hp jijini DSM. Kiufupi Nina maduka mawili ya nguo za kiume, hiyo ndio ajira yangu inayonifanya niishi hapa mjini. Sasa mnamo Tar 27 Dec ya mwaka Jana (2018)nipo ktk moja ya ofisi yangu na endelea na majukumu yangu ya kawaida, tena nakumbuka ilikuwa siku ya alhamisi mida ya Kama saa 7 mchana kuelekea saa 8 hv, alikuwa mteja ambae Ni mwanamke ( Alikuwa mrembo sana, mweupe Ana asili Kama ya kiarabu hv) ila rafudhi Ni yakipemba. Kama kawaida nikawa namsikiliza, akaniambia nimchagulie nguo nzuri anataka ampelekee mme wake, Yani shati na suruali.
Wakati naendelea kumchagulia nikawa namuuliza anavaa size gani? Akacheka akasema yupo Kama wewe, kwa kila kitu...Tena akaongeza na kusema nguo nitakazo zipenda Mimi hata yy atazipenda.
Nikawa namtania, nikamwambia kwa jinsi ulivyomzur hvy nataman mume wako niwe Mimi, akaniuliza Kweli? Nikamwambia hakuna mwanaume chini ya jua anaweza kukukataa msichana mrembo Kama wote tukacheka.
Zoezi la kuchagua nguo likaendelea tukafanikiwa kupata nzuri akazipenda. Tumezoea wabongo tunapenda discount, lkn kwake ilikuwa ni tofauti, akauliza nikiasi gani alipe, nikamwambia akalipia bila kuomba punguzo la Bei Kama tulivyozoea kwa wateja walio wengi. Wateja wa namna hii hutokea ila ni marachache sana, hvy nilifurah maana inakuwaga bingo unapata faida nzur.
Nikiwa namfungia hz nguo, aliniuliza...umeoa? Nikamwambia hapana akacheka akasema, nilijua tu...huwez kuoa mapema 7bu unapenda pombe na wanawake wa aina tofauti tofauti, kifupi we Ni mzinifu. Hii ya pombe ilinistua kidogo, amejuaje mm nakunywa pombe, ila sikutaka kumuonesha hadharani.
Akaniambia, Kuna sehemu anaenda hvy akirudi atauputia mzigo wake, ila nimuhifadhie, akaniuliza huwa nafunga saa ngapi? Nikamwambia, akaniomba namba ya simu Kama sitojali nimpe ili Kama atachelewa anijulishe nisije chelewa kufunga kwa 7bu yake. Nami sikuona Tatizo, kwanza Ni mteja lakini pia Ni mrembo sana[emoji847] Kama tunavyojijua sisi wanaume, basi nikampa namba, akaaga na kuondoka.
************
Hapo ndipo kizazaa kilipoanza. Hata hapa naandika thread hii, Sina amani kabisa. Kufika mida ya Kama saa mbili na robo usiku, sms ikaingia kwenye simu yangu.inasema "Zawadi niliyo kununulia umeipenda"? Mmmh, mm nikahisi itakuwa mtu kakosea namba, coz ilitokea namba mpya, baada ya Kama dk 10 hv, ile namba iliyotuma sms ikawa inanipigia, kupokea nasikia sauti ya msichana, akaniuliza...mbona hujajibu sms yangu hau unapenda zawadi yangu, nikamuuliza unajua unaongea na Nan?
Akasema ndio Ni Fulani (akataja jina langu), nikashangaa nikamwambia mbona hakuna mtu nilimwagiza zawadi akasema, Tena umechagua na kuzijaribisha mwenyewe Mara hii umesahau? [emoji849][emoji50] Akawa anacheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] akaniuliza umeshanikumbuka? Nikamwambia ndio...nikamuuliza umejuaje jina langu wakati sikumtajia, (Nilimdanganya jina) Mara nyingi Sina destruri ya kukwambia jina langu la ukweli mtu nisie mjua, Hilo likanishangaza...nikachekecha akili nikahis labda ameangalia kwenye tigo pesa maana nilimpa namba ya tigo, swali lililozidi kuniumiza akili anawezaje kuja dukani kwangu kuninulia nguo Ikiwa hanifahamu, wakat aliniambia Ni za mumewe?
Nikamuuliza si ulisema unampelekea mumeo? Akaniambia kwani wewe hufai kuwa mume wangu? Akiwa anacheka, akaendelea.....na si ulisema hujaoa au ulinidanganya? Nikabaki na kigugumiz nisiamini ninachokisikia, akaniambia nimeamua kukutunuku. Usiku mwema, nitakuja kukutembelea siku nyingine akakata simu. Nikabaki na maswali chungu nzima, kupiga ile namba ikawa haipatikan...baada ya hapo ndio vitimbi vilipoanza.

Itaendelea.......

NB: Nimechoka kuandika nitaendelea kesho ila kiukweli mwezenu nipo njia panda sielew, mwaka nimeanza na mauzauza.

Sent using Jamii Forums mobile app
nangoja kesho umalizie ndio nipate ja kukujibu mkuu
 
Mhhh ukiwa na issue serious huwez simulia km anavuosimulia huyu mleta mada, kuna namna huyu jamaa anacopy tu mahala hii issue na kupaste au kahadithiwa.
nangoja kesho umalizie ndio nipate ja kukujibu mkuu

Sent from my Le X522 using Tapatalk
 
Kijana usitupige fix.
Ingekuwa huyo ni Jini Kabula usingepata ujasiri wa kuja kusimulia hapa ungekuwa unatetemeka kama mwehu mida hii.

Kwanza jini na simu wapi wapi?
Hizi fairy tales zilikuwa enzi hizo za kuchapisha vitabu vya Arabian Nights au za Alfu Lela Ulela.

Sasa ni zama za teknolojia za akina Elon Musk na project zao za SpaceX, au ile ya Neuralink and brain agumentation yani kuunganisha ubongo wa binadamu na computer kisha kuuongezea uwezo ubongo na kuweza kunukuu(copy) kumbukumbu za binadamu kwenda kwenye computer.

Sasa sio zama za kusubiri utajiri wa jini mahaba bali ni zama za techprenuers.
Ulikuwa huna haja ya kuandika yote haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka screenshot hapa za conservations zako na huyo jini tujue uhalisia wa tatizo lako la sivyo tangazo lako litakuwa successfully
 
Hahah my mum thought nina celebral malaria, ila nae alichokishuhudia ilibidi aombe likizo tutafute suluhu kwa masheikh maana ni wale wa mama kidigitali haamini kabisaa..na kwa shehe nikaambiwa ningecheleweshwa ninge danja..kosa nililofanya usiku ule nilimkiss aisee nilikuja tapika vitu vinachemka moshi..nikaambiwa endapo ningekua na janaba (ndio ilikua mara yangu ya kwanza kusikia hilo neno) kwamba ningekufa usiku ule..
Sheikh gani aliekusaidieni mkuu
 
Sijui kwanini siogopagi uchawi wala majini, ningekua mimi ningemgonga mpaka siku zake zipotee labda awe hana papuchi!!
 
Back
Top Bottom