gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Issue yangu iko tofauti kidogo na mtoa mada kwny mwanzo wake ila kwny muendelezo zina mfanano sn.Ntajitahid kwa kifupi sn japo upate picha,nlikutana na huyu bint akiwa anafanya kaz kwny library ya mziki ambayo ilikuwa jirani na maeneo ninapopatikana muda mwingi. Siku moja computer yao ofisini ilizingua sn kwa siku kadhaa wakaleta mafundi kibao bila mafanikio ndipo alipoelekezwa kwangu na mshkaji kwangu niwasaidie(Me ni It expert professionally).
Basi nikaiweka sawa in few minutes,akawa km amevutiwa nami pamoja na utaalam wangu kwa jinsi walivyosota kuitengeneza computer yao,akaniomba namba kwa maelezo kuwa huwa wanaenda wateja wengi wa kuhitaji fundi wa computer/laptops nk lkn hakujua km me ni fundi nami bila hiana nikampatia. Akawa ananiitia kazi pale napiga namtoa na yeye kiasi si unajua tn mjini,basi akawa close friend akawa ananitext namjibu chat za hapa na pale hadi tukaangukia kwny mahusiano. Yalianza kwa siri sn coz nlikuwa na demu wangu ambaye alimjua pia na sikutaka ajue na huyu demu(wa library) nilimchukulia tu km wa kupita,siku zikasonga akaanza mishe za kufanya yajulikane kwmba nadate nae nikamuonya mara kadhaa lkn yy aliendelea chin chin bila me kujua.
Nakuja gundua kwamba sio siri tn ni pale babymama wangu aliponiuliza nikakana,anyway to cut the long story short....
Huyu binti kumbe mama ake ni moja ya waganga wakubwa sn hapa nchini na huyu binti alikuwa akiandaliwa kushika hiyo mikoba.
Baada ya miaka km miwili ya mahusiano akapata ujauzito na baada ya kujifungua(kwa tabu sn baada ya hekaheka za kutosha) mama yake alikuja kumsaidia kwny uzazi na ndipo alipatwa na kichaa ghafla mtoto akiwa na siku kumi tu. Kumbe alifanya mama yake ili apate kuondoka naye kwa maelezo anaenda kutibiwa lkn me sikukubali,ndo hapo visanga vilianza kunikuta sasa kutoka kwa mama ake ni hatari mkuu usiombe...
Sent using Jamii Forums mobile app