Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa hatari sana lohEeh amekuwa haya tena kuna mwingine kapandisha uzi anaaga kuwa anatelekeza familia kwenda Arusha. Hivi sote tukianika mapito yetu na kuomba michango patakalika humu ndani?
JF inaanza kugeuzwa kuwa pango la wezi kama wale wanaotuma SMS kwenye simu. Muwe na tahadhari wachangiaji..
Huwa hupendi kabisa mwanaume adhalilishe wanawake lakin wanawake wengine hushangilia dah wewe na cariha mko vizuri sanaAnapenda sana kudhalilisha wanawake, sijui the story behind it, ila something is wrong somewhere trust me.
Hahaha Word njoo hukuMi Akisema ilipo hyo kambi ya maombi naenda kumpelekea hapo hapo...ye aseme tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu atunge story yake huko ili aje adhalilishe watu alafu mtu ufurahie kweli!!Huwa hupendi kabisa mwanaume adhalilishe wanawake lakin wanawake wengine hushangilia dah wewe na cariha mko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Funga then fungua tena Application ili ke-refresh...It works for me every time..Jamani eeeh samahani sana kwa kupachika swali nje ya mada,
Ni kwamba pm yangu inaonyesha kuna SMS tatu,lakini nikifungua inaniambia empty msg hii naitatuaje niweze kusoma SMS zangu!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuFunga then fungua tena Application ili ke-refresh...It works for me every time..
#Muungwana_John
Jizi kuu. Kwenda huko na hadithi yako.Habari zenu wanajamvi, kipekee kabisa nipende kuwashukuru, kwa michango yenu katika ushauri juu ya tatizo lililo nikumba. Pia, namshukuru Mungu naendelea vyema kabisa, ingawaje vita ni kubwa mno...kwa sasa nimeshauriwa nisiseme chochote (sio kwa ubaya) ila ni kwa ajili ya usalama wangu pia.
Kwa wale wenye hofu na wasiwasi mm ni mzima wa afya... Ingawaje kumetokea mambo mengi sana ya kunirudisha nyuma, ikiwa ni pamoja na matapeli waliochukulia tatizo langu kama fursa. Nimepoteza pesa nyingi sana katika kutafuta suluhu la jambo langu, lakini nikiri wazi Mungu aliejuu mbinguni ashindwi na kitu, naamii atarejesha kila nilichopoteza.
Kwa sasa nimefunga biashara zangu zote (kwa muda) ili niokoe maisha yangu. Kwa sasa nipo kambini na timu ya maombi sehemu fulani (nisingependa kupataja) wananifanyia huduma. Kiukweli kabisa Vita ni kubwa mno Mama yangu kaponea chupu chupu kumpoteza.
Pia niwaweke wazi katika hili...mimi ndio msaada mkubwa katika familia yangu, matatizo haya yamesababisha ni yumbe sana kiuchumi. Hapa nilipo sina chochote (fedha) timu ya maombi inakesha usiku na mchana kunipigania..ukweli ni kwamba kama si nyinyi wana JF kunisisitiza ishu ya maombi nisingekuwa hai sasa. Naomba muendelee kuniombea pia.
Nashindwa nisemeje lkn najisikia aibu na fedhea kubwa kwa watu wanaopigania maisha yangu kushindwa kuwahudumia hata chakula na maji. Sio malipo kama wengine walivyohitaji ni bure kabisa ila hawa nao pia ni binadamu. Kama kuna yoyote ataguswa katika hili naomba aje Pm nitampa utaratibu aweze kunichagia chochote alichonacho (Nisieleweke vibaya tafadhali) kama utaguswa katika hilo naamini kabisa Mungu hatukuacha kama ulivyo ulipotoa atakuongezea mara dufu.
Nawashukuru sana kwa msaada wenu wana Jamii Forum. Niwatakie mchana mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa hupendi kabisa mwanaume adhalilishe wanawake lakin wanawake wengine hushangilia dah wewe na cariha mko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahaaahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa Waiteeeeee!!!!!Wenye moyo na ubinadamu wanajua shida nini...Mungu ambariki Alphonce kwa alichotoa sio haba, Tsh2000/= naamini sio kwamba alikuwa nacho sana ila lahasha ila anajua dunia duara. Pindi tu nilipoandika uzi wa kuomba mchango yy ndio amekuwa wa kwanza. Mungu akubariki sana Alphonce
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu atunge story yake huko ili aje adhalilishe watu alafu mtu ufurahie kweli!!
Hell NO.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ufurahi Ili Iweje mie mwenyewe nishaanzishiwa uzi humu na umbeya ukasambazwa humu. Sasa nifuraie napata hela au?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mweeeh!!
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Pole sana mama.
Ni wapi ukishaniona nikishabikia wanawake wakizalilishwa humu aisee ndo naona kwako, tena mie hata vigroup vya wanawake ku kutiona huwa sipendi kabisa. Na sijui jambo la wanawake kuzalilishwa humu tena huwa sipendi kabisa had hugombana na wanaume kwa kuniona mkorofi kisa kutetea wanawake mhhhhhh I wonder ur allegations to me. Something new.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vivulana vya jf vimegoma kukua kabisa, sijui vina mpango wa kukua lini[emoji134][emoji134][emoji134]Asante my dear I'm also a victim humu hata nyuzi za kuzalilishana na kuletwa humu JF huwa sizipendi hata za kuponda wanawake loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa si kweli bwana mzigua na mie tofauti kabisa mbingu na ardhi aliyekupa ubuyu kachaganya ma file.Hii ID nmeambiwa ni ya mzigua90 sasa si ziunganishwe iwe moja tu.