Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Huyu aliyeleta simulizi ni jamaa yangu wa karibu, nilikutana naye katikati ya mwaka huu. Mambo yake yapo vizuri anamiliki magari na mijengo kadhaa hapa mjini.
 
Weee usiambie🤣🤣🤣 Eeeh? ikawaje
 
Back
Top Bottom