Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hivi iko sawasawa na kwa mke wako. Naye kakutana na soul mate handsome tall, mwenye hela na kila kitu. Anakuona km nyani ila anajikazaWanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Anamuona mpya kisa hajaitumiatumia waiiii boys bhanerInakuwa hivyohivyo ukimtoa huyo mke naye huyu atachujuka....we fanya Kama wenzio...tomber nje mkikinaiana sepa.Usimwache mke Kama si msumbufu
🤣🤣🤣AtajutraaAnamuona mpya kisa hajaitumiatumia waiiii boys bhaner
Ni mvulana , mwanaume angepita arudi kwa mkewe hahahaha woiiii🤣🤣🤣Atajutraa
🤣🤣🤣🙌Ni mvulana , mwanaume angepita arudi kwa mkewe hahahaha woiiii
Mwambie wanaofungwa ni punda, pundamilia ni kwa kuwatazama tu huko mbuganiInakuwa hivyohivyo ukimtoa huyo mke naye huyu atachujuka....we fanya Kama wenzio...tomber nje mkikinaiana sepa.Usimwache mke Kama si msumbufu
Hahaha🤣🤣🤣🙌
Hakika ndo ukweli...ataliaMwambie wanaofungwa ni punda, pundamilia ni kwa kuwatazama tu huko mbugani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wife atapata soulmate wake, gono na ukimwi uko pale umewasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kusikia hii
"Anguko la mwanaume ni mwanamke tena mwanamke ambae sio mkewe(yani mchepuko"
Rejea kisa cha RC wa Simiyu, kazi kwako mkuu na soulmate wako.