picha yake tafadhaliWakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi
Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza ππ
Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way
Mfungo mwema ποΈ
Wayne ana sema I come to my senses, after I have cummedNyege ni mbaya saana.
Mwisho wakunukuu
Ulivyosema tu ni mweusi nimeweka nukta na kuishia hapo hapo kusoma.Wakuu za usiku,