Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Wakuu za usiku,

Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi

Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza 😜😜

Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way

Mfungo mwema 🖐️
Umeanza kuchanganyikiwa
 
Nazani itoshe tu kusema vijana ni Taifa la kesho.
 
Wayne ana sema I come to my senses, after I have cummed
Huwa inaitwa post-nut clarity. Dogo mmoja kule Canada alikata shauri kukomiti suisaidi. Na njia nzuri aliyoichagua ni kwenda kujilaza kwenye njia ya treni ya mizigo. Kaenda vizuri tu majira ya saa tatu hivi asubuhi wakati treni huwa inapita saa 3 na nusu. Wakati anasubiri akaamua kuungurumisha punyeto la kuagia. Anasema siku ile alisikia utamu usio wa kawaida; na akaghairisha kabisa mpango wake wa kujiua. Alimpigia simu mpenzi wake akaja kumchukua na gari wakarudi nyumbani. Na aliapa kwamba hatakuja kujaribu kujiua tena.

Huu, nadhani, ndiyo mfano bora kabisa wa post nut clarity. Achana na ile mtu unamaliza halafu unaona kinyaa na majuto. Wakati mwingine hata huyo uliyekuwa unampelekea moto unamuona kama kinyago tu 😂🚶🏿‍♂️
 
Hatari sana 😂😂
 
Back
Top Bottom