Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Umewahi kutafuna secretary wazuri wa posta!?
.

Nipe mbinu!
Nenda ofisi husika. Mwone mtambue secretary mlengwa.mwambie unahitaji appointment ya kikazi na boss wake. Leo umepita haraka you have just landed una ratiba tight sana.akiuliza we nani mwambie CEO wa ABC Company limited. Mwachie business card.kisha mwombe namba yake kuwa utataka next kabla ya anything u mcheck kwanza.. mwambie umependa alivyo very prof... Atakutajia namba yake ya simu. Sijawahi kosa. Mpaka hapo the rest is history
 
Wakuu za usiku,

Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi

Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza 😜😜

Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way

Mfungo mwema 🖐️
Hiyo chakula ya muzee mwenye hiko kwa ofisi!
 
Back
Top Bottom