Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
😂🤣😃 halinipati kwa vyovyote mkuuDume hilo kuwa makini
😂🤣😃 halinipati kwa vyovyote mkuuDume hilo kuwa makini
Pepo wachafu(majini wachafu)wanawashawishi wateja,waende.kama vile walivyomshawishi Yesu,awakubalie kuingia kwenye nguruwe,na nguruwe wale 2000 kufariki.Jiulize mbona sehemu zinazo uzika kitimoto zina wateja wengi
Naisubiri vocha ya halotelHakika baby, huo ndio ukweli
Mwalimu mkuyenge*ugharamikie
Nirushie basi ka video kako inbobo labda naweza kukubaliana na wewe 😀Hiyo ni intro hujaniona live
Subiria baby, inakujaNaisubiri vocha ya halotel
nyege mshindoWakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi
Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza 😜😜
Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way
Mfungo mwema 🖐️
Ok KELBUSubiria baby, inakuja
Tuma vochaNirushie basi ka video kako inbobo labda naweza kukubaliana na wewe 😀
Ukimpata utuletee mrejesho mkuuNimemtamani tu sijampata bado 😁😀 ila wewe nakupenda 😃
Kumbe yupo kwa jini Subian hapo anakaushwa uzaziTena mwenye ofisi ni mhindi obvious mshahara wake ni mdogo aseeee
Uoga wako ndo umaskini wako changamka mkuuAaah wapi siwezi mtongoza namuogopa 😝😝 akiniangalia roho kwatu 🤓🤓