Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Ukiangalia profile yangu utamsahau huyo

#justice for Tumbili wa mjini
1742388628133.png
ni kweli akimzidi cute bebz, huyo atakuwa ni jini😀
 
Mkuu pamoja na mfamasia kutu thibitishia dawa za ARV stoo ya msd zipo za kutosha akiba inaonesha tunaweza kuwa na mzigo mpaka mwezi wa 12 mwaka huu wananchi na baadhi ya hospital msiwe na wasi wasi akaongezea hata kwa wafanyabiashara hawana umuhimu wakuagiza dawa hizi nakuzificha wakisubiri mzigo upande,, serikali imejipanga hakutakuwa na upungufu wa dawa hizi,,, MKUU NIKU AKIKISHIE KUWA MAKINI NA HUYO MREMBO kuanzia january mwakani dawa za ARV zitakuwa chache sanaaa na hapa TRUMP DISEASE itasumbua wengi((((huu mwaka wa uchaguzi banaaaa)))
 
Back
Top Bottom