didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
hakuzid wewe mkuu kwa uzuriNa Bado Kuna mtu anasema utapeli 😹😹😹
hakuzid wewe mkuu kwa uzuriNa Bado Kuna mtu anasema utapeli 😹😹😹
M sio secretary wa posta jaman nakaa m ni wa tundulu uku😹hakuzid wewe mkuu kwa uzuri
Thread ya kijinga Sanaa aiseeeWakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi
Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza 😜😜
Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way
Mfungo mwema 🖐️
Pisi ni kali kama zimealikwaSawa kalio 😹🙌🏾
Aya Sasasweery shem uje huku
Ntakukumbusha tukamuone tukienda dar😹Kuna pisi fulani hivi inafanya kampuni fulani huko dasalama.
Rangi yangu pendwa kabisa(chocolate)
Imepanda hewani.
Nyash ipo ya kutosha kabisa.
Shepu ya kwenda guu limenona haswa.
Kichwani short hair 🙆🏾♂🙆🏾
Sura ndio usiseme.
Anajua kuvaa na kupendeza sana.
Kila nikikutana nae lazima nimpe maua yake, ile mama ni kali sana.
Kwenye ukweli huwa nasema japo sina interest nae.
Ntawatajia jina la kampuni anayofanya siku nyingine mnikumbushe ila kwa waunga dots anafanya kampuni ina jina la baa fulani huko Tabata. Kazi kwenu walevi kutoa jina la baa.
Mbona kawaida hiyo
😹😹💃🏾Pisi ni kali kama zimealikwa
Niliwahi kukutana na pisi moja, ilikuwa ni noma. Mwisho wa siku nilijikuta natii masharti yake ili nichajate Ile kituWe bado hujakutana uumbaji wa Mungu
Masharti yalikuwa magumu sana lakini ilibidiUlimtafuna!
We si upo dar huko mbezi?Ntakukumbusha tukamuone tukienda dar😹
Ile pisi ilikuwa na sponsa kibabu hivi. Kilitaka kiangalie mechi live🤣 lilikuwa jambo gumu sana lakini kila nikiangakia Ile pisi, Kuna sauti inaniambia "utaishia kuziina kwenye TV kubali pisi ni Kali hii" 🤣🤣 Ujana ni kitu kingine kabisaHahaha masharti kama yapi mkuu
😹😹 Nimehama nipo tunduma sikuiziWe si upo dar huko mbezi?