Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Unaishi tunduma umekuwa mpaka wa burundi wewe 😂😹😹 Nimehama nipo tunduma sikuizi
Unaishi tunduma umekuwa mpaka wa burundi wewe 😂😹😹 Nimehama nipo tunduma sikuizi
Acha izo nakaribia kwenda Kujiunga m23 maana sipaelew uku Tunduma😹Unaishi tunduma umekuwa mpaka wa burundi wewe 😂
Kila la heri we ndio wale wa heri wali nyama vitani kuliko ugali dagaa kwenye amani?Acha izo nakaribia kwenda Kujiunga m23 maana sipaelew uku Tunduma😹
Muhimu iyo siangushi sisterhood 💔Kila la heri we ndio wale wa heri wali nyama vitani kuliko ugali dagaa kwenye amani?
Hapo kuna mahali umeniacha ulipochanganya lughaMuhimu iyo siangushi sisterhood 💔
Chatgpt ipoHapo kuna mahali umeniacha ulipochanganya lugha
Sina huo ujingaChatgpt ipo
😹😹 NightsSina huo ujinga
Over😹😹 Nights
Nahisi ile mnaangaliwa mkifanya tendoSijaelewa hapa!
Akimalizia nitag ila niivyo kama nahisi💯Fursakibao uje umalizie story yako
Muone Maghayo The Mongolian Savage akupe moja ya ndinga zake ukamtambie huyo dada 😁Wakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi
Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza 😜😜
Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way
Mfungo mwema 🖐️
Wakuu za usiku,

😂😂😂😂Wayne ana sema I come to my senses, after I have cummed