mbonji monga
Member
- Mar 23, 2020
- 96
- 192
Ndo wataona meli inatembea barabarani.Acheni pombe wewe na mkeo.
Ni bora mvute bangi
Aaah ndo hapo alipozinguaHujamchukua hata picha Mkuu tumshangae huyo tolu wa ajabu?
Mzee,Biblia imesema nguruwe ni haramu halafu unaichanganya na mifupa mavi imekaaje hiyo!
Ila kabla ya kuanza kutumia nilianza kupata tabu ya huyo jini..maana nilianza kuharisha Sanaa bila sababu TUMBO lilivurugika..Mavi ya kitimoto dirishani na mlangoni + bible chini ya mto, Daah! hiyo combo ni hatari mkuu.
Jini mwenyewe akaona isiwe tabu aachane na wewe tu.
ChaiUsiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Nilifikiri hizi imani ni zetu huku Gambosh kumbe hata wasomi wa ngh'wana Dalisalama mnazo!Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Naanza uchonganishi rasmi.Acheni pombe wewe na mkeo.
Ni bora mvute bangi
Mimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu
Aah ngoja niwasiliane na wenzangu tukutembeleeMimi huwa hawanitokei sababu ngumi ntakazo wachapa lazima waite maji, mma
Aah ngoja niwasiliane na wenzangu tukutembelee
Sio Imani ni tukio halisi na limekiwa capturedNilifikiri hizi imani ni zetu huku Gambosh kumbe hata wasomi wa ngh'wana Dalisalama mnazo!