Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

Halafu mwamba umejieleza Sana sema tumejua kaka kuwa una mtoto wa chuo Cha UDSM Tumejua umeoa na tumejua ulikuwa hotelini Na mwishoo tumefahamu KUWA UNA GARI

inatosha Sasa mkuu 👐👐👐👐👐👐👐
 
Biblia imesema nguruwe ni haramu halafu unaichanganya na mifupa mavi imekaaje hiyo!
Mzee,
Imani ikiwa haba 😊☺️ Mimi niliweka instruments zoteee ili yule jini asiniletee rabsha rabsha maana hapatani na nguruwe kabisaaa

Pia wanasema hata BANGE huwa hawapendi kusikia Moshi Wala harufu yake.
 
Mavi ya kitimoto dirishani na mlangoni + bible chini ya mto, Daah! hiyo combo ni hatari mkuu.
Jini mwenyewe akaona isiwe tabu aachane na wewe tu.
Ila kabla ya kuanza kutumia nilianza kupata tabu ya huyo jini..maana nilianza kuharisha Sanaa bila sababu TUMBO lilivurugika..

Na tulikutana in short distance Kama hatua 10
Wana uzuri wa ajabu sura nzurii yenye mvuto si mweusi si mweupe yaan Kama wale wadada wahabeshi..tulitizamana mpaka Mimi nikaogopa na hatuku semeshana baadae Mimi sikurudia kumuangalia mpaka nikakatisha uwanjani..
 
Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.

Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.

Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.

Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.

Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?

Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.

Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.

Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.

Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Chai
 
Nilifikiri hizi imani ni zetu huku Gambosh kumbe hata wasomi wa ngh'wana Dalisalama mnazo!
 
Acheni pombe wewe na mkeo.

Ni bora mvute bangi
Naanza uchonganishi rasmi.
 
Hapa Kawe ilikuwa usiku wa saa 5 na nusu, niliona myu mwenye kofia anakuja mbele yangu, ila kila akipiga hatua anazidi kuwa mrefu. Huku nashangaa aliponikaribia alirefuka na kutokomea angani. Sikumuona tena. Mpaka leo natafakari sipati jibu.
 
Back
Top Bottom